Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitaangalia fainaliUnaweka alarm kabisa ?
Tukutane Euro saa 4.Nitaangalia fainali
Haters wa Messi mnaweweseka sana miaka ya hivi karibuni..... na pia uchunguzi usiokuwa rasimi unaonesha kuwa wengi wenu bado hamjarudi kwenye utimamu wenu tangu 18/12/2022....
Angalia usije ukagongwa na gari huko barabarani familia yako bado inakuhitaji
Natambua sana mental derangement uliyonayo kwa sikushangai kwa hii comment.asilimia 90% ya mashabiki wa messi inavyosemekana wanafungia kwetu, tabia zao hazina tofauti na mashoga na machawa
Ni masaa 5 tu yaliyosalia tuone kipute kilichomfanya Messi akalia kama mtoto mdogo kikirudiwa pale Metlife.... kabla hajaenda kubadilisha kabisa international career yake miaka 5 baadae.Alfajiri ya kesho tarehe 26/june Argentina atakipiga na Chile kwenye michuano ya Copa America inayoendelea huko Marekani kwenye uwanja wa Metlife huko New Jersey.
Cha kusisimua zaidi kwenye huu mtanange ni kumbu kumbu iliyopo kwenye michuano ya Copa America iliyofanyika mwaka 2016.
Timu hizi mbili zilikutana kwenye fainali ya 2016 ambapo Chile alokuwa ni bingwa mtetezi mnamo tarehe 27/june katika uwanja huu huu wa Metlife na majira yale yale ya saa 10 alfajiri.... ni fainali ambayo iliamuliwa kwa mikwaju ya penalty na Messi akiwa ni moja ya wachezaji walikosa penalty kwa upande wa Argentina na muacha na maumivu makali mno mpaka kumpelekea kustaafu kabla hajatengua maamuzi yake.
Kesho timu hizi zinakutana huku Argentina akiwa ni bingwa mtetezi kama ilivyokuwa kwa Chile kipindi kile.
Ngoja tusibiri nini kitatokea, ila itkuwa ni mechi ya kukata na Mundu.
asilimia 90% ya mashabiki wa messi inavyosemekana wanafungia kwetu, tabia zao hazina tofauti na mashoga na machawa
Wazee game iko too physical sio poa, hawa wahuni wa Chile sio watu wazuri... View attachment 3026302
Ila mechi ilikuwa inatisha sana hata kuingalia, yaani mwanzo mwisho ni jihadi tu halafu na refa nae ni kama aliamua awaache wacheze wanvyotaka.... wewe fouls 23 halafu ametoa kadi za njano 2 tu, Depaul licha ya kutaka kumvunja mguu mwenzie hajapewa hata kadiTumewakaanga
Arg 1-0 Chile, FT
Lautaro⚽️
BALL POSSESSION
ARGENTINA 61
CHILE 39
Amerika ya kusini hiyo babaa, ukipigwa inuka endelea na mpira hamna kulialia, ukicheza na de paul, romero, paredes na montiel tegemea kulambwa muda wote, hawakuachi ulete madhara 😄 wako vizuri sana.Ila mechi ilikuwa inatisha sana hata kuingalia, yaani mwanzo mwisho ni jihadi tu halafu na refa nae ni kama aliamua awaache wacheze wanvyotaka.... wewe fouls 23 halafu ametoa kadi za njano 2 tu, Depaul licha ya kutaka kumvunja mguu mwenzie hajapewa hata kadi
Kuna yule mwamba Christian Romero jamaa anakuua yuleAmerika ya kusini hiyo babaa, ukipigwa inuka endelea na mpira hamna kulialia, ukicheza na de paul, romero, paredes na montiel tegemea kulambwa muda wote, hawakuachi ulete madhara 😄 wako vizuri sana.
Yeah nimemuweka hapo, kidogo avunje mtu jana 😄Kuna yule mwamba Christian Romero jamaa anakuua yule
Yeah nimemuweka hapo, kidogo avunje mtu jana 😄
Cheki iyo babu
View: https://youtube.com/shorts/08SlcBcQ1_k?si=CaSDT_gD47dpODcw
Huyu wasipomkemea ataua mtu
Soka la South America nalipenda sana kwa kweli
Kuna clip moja niliona kipa wetu Argentina alisema ile final world Cup na France yeye alimkemea romero akamwambia "ukisbabisha penalty nakuua"Same to me bro, Inabidi awe anakemewa aise, atatuletea case huyu 😄