DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,131
- 2,537
Huyu wasipomkemea ataua mtu
Soka la South America nalipenda sana kwa kweli
Mechi ya Argentina na chile ni maulid kitenge pekee katika waandishi wakubwa ndie aliepost, wengine hawana habari, kazi kutupostia uero