Nafikiri kaka alicheza 2007 marcelo ndio sijui...You can't believe Kaka na Marcelo hawakuwahi kucheza Copa America
Hata hivyo hii michuano miaka ya Nyuma Brazil walikuwa wanaitumia kama sehemu ya kupatia uzoefu tu kwa wachezaji wao hasa wale waliokuwa hawapati nafasi ya kucheza world cup...
Na ndio maana ulikuwa unaona mtu kama Luis Fabiano kwa mara ya kwanza alicheza world cup 2010 baada ya Ronaldo kustaafu, lakini kwenye michuano ya Copa America alicheza tangu 2004 na mwingine Douglas Maicon RB moja mahiri sana, na yeye alichelewa kupata nafasi ya kucheza World Cup sababu ya uwepo wa CUF ila alianza kuichezea timu ya taifa ya Brazil tangu 2003 na huku kwenye Copa America alikuwa ndio beki wao wa kulia kipindi kile wanachukua mara mbili mfululizo.