Copa America 2024 in USA

Copa America 2024 in USA

Haters wa Messi mnaweweseka sana miaka ya hivi karibuni..... na pia uchunguzi usiokuwa rasimi unaonesha kuwa wengi wenu bado hamjarudi kwenye utimamu wenu tangu 18/12/2022....

Angalia usije ukagongwa na gari huko barabarani familia yako bado inakuhitaji

asilimia 90% ya mashabiki wa messi inavyosemekana wanafungia kwetu, tabia zao hazina tofauti na mashoga na machawa
 
asilimia 90% ya mashabiki wa messi inavyosemekana wanafungia kwetu, tabia zao hazina tofauti na mashoga na machawa
Natambua sana mental derangement uliyonayo kwa sikushangai kwa hii comment.

Amini ipo siku utapona japo itachukua muda mrefu sana
 
Alfajiri ya kesho tarehe 26/june Argentina atakipiga na Chile kwenye michuano ya Copa America inayoendelea huko Marekani kwenye uwanja wa Metlife huko New Jersey.

Cha kusisimua zaidi kwenye huu mtanange ni kumbu kumbu iliyopo kwenye michuano ya Copa America iliyofanyika mwaka 2016.

Timu hizi mbili zilikutana kwenye fainali ya 2016 ambapo Chile alokuwa ni bingwa mtetezi mnamo tarehe 27/june katika uwanja huu huu wa Metlife na majira yale yale ya saa 10 alfajiri.... ni fainali ambayo iliamuliwa kwa mikwaju ya penalty na Messi akiwa ni moja ya wachezaji walikosa penalty kwa upande wa Argentina na muacha na maumivu makali mno mpaka kumpelekea kustaafu kabla hajatengua maamuzi yake.

Kesho timu hizi zinakutana huku Argentina akiwa ni bingwa mtetezi kama ilivyokuwa kwa Chile kipindi kile.

Ngoja tusibiri nini kitatokea, ila itkuwa ni mechi ya kukata na Mundu.
Ni masaa 5 tu yaliyosalia tuone kipute kilichomfanya Messi akalia kama mtoto mdogo kikirudiwa pale Metlife.... kabla hajaenda kubadilisha kabisa international career yake miaka 5 baadae.
1719323418233.jpg
 
Tumewakaanga

Arg 1-0 Chile, FT

Lautaro⚽️

BALL POSSESSION
ARGENTINA 61
CHILE 39
Ila mechi ilikuwa inatisha sana hata kuingalia, yaani mwanzo mwisho ni jihadi tu halafu na refa nae ni kama aliamua awaache wacheze wanvyotaka.... wewe fouls 23 halafu ametoa kadi za njano 2 tu, Depaul licha ya kutaka kumvunja mguu mwenzie hajapewa hata kadi
 
Ila mechi ilikuwa inatisha sana hata kuingalia, yaani mwanzo mwisho ni jihadi tu halafu na refa nae ni kama aliamua awaache wacheze wanvyotaka.... wewe fouls 23 halafu ametoa kadi za njano 2 tu, Depaul licha ya kutaka kumvunja mguu mwenzie hajapewa hata kadi
Amerika ya kusini hiyo babaa, ukipigwa inuka endelea na mpira hamna kulialia, ukicheza na de paul, romero, paredes na montiel tegemea kulambwa muda wote, hawakuachi ulete madhara 😄 wako vizuri sana.
 
Back
Top Bottom