Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,611
- 5,009
Odds ya wazArgentina wins kwa odd ya 1.3 weka million upate laki tatu
Niwapigia simu leo kuwauliza wakaniambia hawaonyeshi hayo mashindano!Hawa jamaa wa dstv wanayaonesha kweli haya mashindano?
Hawa jamaa mafala sana sasa mie nalipa 110k alafu simuoni messi kweliNiwapigia simu leo kuwauliza wakaniambia hawaonyeshi hayo mashindano!
ÀahàaaaCanada kumbe ni America nlikua najua ni ulaya 😅😅
Kha🤣🤣🤣🤣Canada kumbe ni America nlikua najua ni ulaya 😅😅
Kingamuzi gani wanaonyesha haya mashindano1st goal---Julian Alvarez
2nd goal--- Lautaro Martinez(🎯GOAT assist)