Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Jiandae kutoa machoziWa kwanza tayari, tukutane in 3 hrs time
Wakuu,samahani,Dstv wanarusha hii final?..na kama wanarusha ni channel namba ngapi?
Dstv na ulaya tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiandae kutoa machoziWa kwanza tayari, tukutane in 3 hrs time
Wakuu,samahani,Dstv wanarusha hii final?..na kama wanarusha ni channel namba ngapi?
Andaa kitambaa cha kufutia machoziWa kwanza tayari, tukutane in 3 hrs time
Hawarushi. Tafuta vyanzo vingineWakuu,samahani,Dstv wanarusha hii final?..na kama wanarusha ni channel namba ngapi?
Live from Swanga. Wazee mliopo toeni code.the game is on
Hawa dstv ni watu wa ajabu sanaHawarushi. Tafuta vyanzo vingine
Wapuuzi hawajui tumelala masaa 2 tukakatisha usingizi wetuHawa wacenge hii game sasa wanasema itaanza 9:15!!
Colombia wanaupiga mwingi ila Argentina wana utulivu wa hali ya juu.Afadhali hii game iko competitive! Hakuna one-sided domination kwenye possession.
Pamoja mkuu.Ahsante mkuu