Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,611
- 5,009
- Thread starter
-
- #321
Pole sana huku siku ishakuwa njema mapema.Dah, siku imeshaharibika asubuhi yote hii.
mkuu wewe ni kichapo dabo dabo kule euro tumekutandika ukaja copa tumekutandika.Inauma sana hii
1-0
Kaoge mto Yordani mkuuInauma sana hii
1-0
Utulivu na nidhamu ya mchezo ndio mafanikio ya argentina, hawa colombia uwezo wao ni wa juu sana, nawapongeza.kama kuna mtu alikua anasema hawa arg wanabebwa a refute kauli yake. jamaa wako aggressive mamaye sio poa
Anabahati mbaya sanamkuu wewe ni kichapo dabo dabo kule euro tumekutandika ukaja copa tumekutandika.
Mbungi imeisha, colombia walitaka leta janja janja wapate penalty. Refa yupo makini.Refa anata kuleta nin hapa
Haiti 😅Refa maliza mpira wengine tunakaa mbali