Copa America 2024 in USA

Uruguay na Argentina ndio ingekua bora, maana wangekutana wote wanajua boli, sasa hao brazil walio draw na costa rica wakadraw na colombia watauweza mziki wa akina Nunez!

Brazil out

Final, Argentina and Uruguay
 
Hata matokeo ya timu si unaona sio mazuri katika level ya juu.
 
Namuona hata kule nyuma anamprefer zaidi Miltao ambaye muda mwingi alikaa nje sababu ya majeruhi na kumuweka benchi Big Gabby ambaye wote tunajua alikuwa na msimu mzuri sana EPL maana alichukua mpaka tuzo kadhaa za MOTM.
Yaa hili linaleta maswali pia, I guess kila kocha ana his favourites, kama ambavyo mashabiki wa Arsenal wanavomtuhumu Arteta kuwa Zinchenko na Jesus are his favourites.
 
Vini ana msaada gani? Jana alifanya nini cha maana kazi kujiangusha tu
Man of the match vs Paraguay na jana alisababisha penalty ya wazi ambayo VAR iliamua kufunika kombe kufidia makosa ya kukataa goli halali la Colombia.

Jana hakua kwenye ubora wake lakini umuhimu wake kwenye kikosi haupingiki.
 
Haya ni maneno aliyoyasema Romario gwiji wa zamani wa brazil.

🎙🇧🇷 ROMARIO : “Vinicius is not the player you say ‘if he plays well, Brazil will be champion, If he plays well, he will help Brazil A LOT.

The only Brazil player you say ‘if he does what he’s capable of, Brazil will be champion. Is Neymar”

Wao wenyewe hawana imani kabisa na Vinicious, wanaona mchango wake ni wa kawaida sana kwenye national team
 
Yaa hili linaleta maswali pia, I guess kila kocha ana his favourites, kama ambavyo mashabiki wa Arsenal wanavomtuhumu Arteta kuwa Zinchenko na Jesus are his favourites.
Kitendo cha kutomuana Gabby akipewa nafasi licha ya msimu nzuri aliokuwa nao kina niudhi sana.... ngoja Nunez hawapige 2 kwanza siku hiyo moyo wangu utulie
 
Man of the match vs Paraguay na jana alisababisha penalty ya wazi ambayo VAR iliamua kufunika kombe kufidia makosa ya kukataa goli halali la Colombia.
Wewe na refa+VAR, nani mkweli? Vinicius kwa mambo yake hata refa hana muda nae
Jana hakua kwenye ubora wake lakini umuhimu wake kwenye kikosi haupingiki.
Haupingiki kwani amecheza mechi ngapi na timu yake mpaka useme umuhimu wake kwenye kikosi haupingiki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…