Higuain huyu mwehu kila final lazma aharibu huyu anakuwa kama jaja
Higuain bora atoke aingie Aguero
Huyu refa hata simuelewi
Kaka kuna ile ya Ujerumani akaharb had ya Chile na Leo nako anatuua nafas ya wazi daaaah Chance adimu yy analeta upuuzSijui vipi tu final ya pili hii anaharibu
Kweli haikuwa red straight ileHiyo red card kwa rojo ya kuonewa kabisa
KabisaRefa hajiamini kabisa.
Rojo kaonewa sana. pia Di maria anazingua kwa uchoyo. refa ndiyo sitaki hata kumsikia. atakuwa criticized sana hii mechi. habari ya siku mkuu?Hiyo red card kwa rojo ya kuonewa kabisa
Rojo kaonewa sana. pia Di maria anazingua kwa uchoyo. refa ndiyo sitaki hata kumsikia. atakuwa criticized sana hii mechi. habari ya siku mkuu?
Matokeo plzSub Higuain out,Aguero in