Copa America: Habari matukio na video za mechi na yote yaliyojiri utayapata hapa

Kwenye hii dunia kama humpendi Messi ishi chini ya ardhi ,Messi very balanced player ana assist,anapiga free kick vizuri ,anapiga dribbling accuracy ya nguvu,anashambulia very aggressively,ana motivate team yake ,anabeba mzigo wa team ,ukimuambia a defence ana defend ,anapiga penetrating pass sijaona ,anakusanya msitu wa mabeki etc
 
1 S. Romero
4 G. Mercado
8 A. Fernández
9 G. Higuaín
10 L. Messi
13 Ramiro Funes Mori
14 J. Mascherano
16 M. Rojo
17 N. Otamendi
19 É. Banega
22 E. Lavezzi
Utakuja kushangaa messi anachezeshwa kama first line midfielder line moja na Macherano ila bado anakua ndo kiungo wa kutengeneza mashunbulizi ya Argentine
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Ha ha hii Assist ilivyopigwa ,timing yake,speed yake ,na height yake bila shaka Messi ndo mfalme wa kizazi chetu
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Kwenye hii dunia kama humpendi Messi ishi chini ya ardhi ,Messi very balanced player ana assist,anapiga free kick vizuri ,anapiga dribbling accuracy ya nguvu,anashambulia very aggressively,ana motivate team yake ,anabeba mzigo wa team ,ukimuambia a defence ana defend ,anapiga penetrating pass sijaona ,anakusanya msitu wa mabeki etc
Alivyokua anafunga viatu vyake kamba nkahisi kuna jambo......

Bonge la faulo.......kamba!!!
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Alivyokua anafunga viatu vyake kamba nkahisi kuna jambo......

Bonge la faulo.......kamba!!!
Mimi ni fan wake mkubwa sana ,huwa namfuatilia sana kuna mtu naangalia nae hapa match nilimuambia lile ni goal tayari
Mwaka huu Messi ndo mchezaji hatari sana anayefunga kwa free kick pia
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Mimi ni fan wake mkubwa sana ,huwa namfuatilia sana kuna mtu naangalia nae hapa match nilimuambia lile ni goal tayari
Mwaka huu Messi ndo mchezaji hatari sana anayefunga kwa free kick pia
Kuna hatari ya USA kula tano leo
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom