Copa America: Habari matukio na video za mechi na yote yaliyojiri utayapata hapa

Copa America: Habari matukio na video za mechi na yote yaliyojiri utayapata hapa

ARGENTINA HAMUWEZI CHILE,HAWA MADOGO WANAPIGA BURUNGE HATAREE

😀😀 Unajibu swali tofauti kabisaa,, mwenzako anasema "Mexico nimeshindwa kuwaelewa kabsaa" sasa wewe unakuja na majibu yasio eleweka...shule hizi shida sana
 
Wewe naye unakurupuka tu sijui umekula maharage ya wapi? Hawafurukuti kivipi sasa? Kama kupigwa ashapigwa tayari first match, sasa bado nini tena

Mkuu unahangaika na uyu,mwache aone hapa

downloadfile.png
downloadfile-1.png
downloadfile-2.png


Tena hapo Mechi moja tu Chile ilishinda kwa matuta 4-1...huyu anawivu tu ama hajui kabsaa mpira
 
Naona huku king Messi anashaini,kule Christina yupo hoi hadi mkwaju kakosa

Vict..Hahaaa huyo ndiye the true king10§, mashabiki wachache tu wasiempenda wanakiri kimoyoni moyoni kuwa huyu mtu si wa kawaida...ndani ya dkk 29 kapiga hatrick na yote ni magoli yaliyoenda shule kama kawaida yake...hadi raha aise

Alaf pia ukicheki timu yake kila idara imekamilika,akiwemo na yeye ni balaa aisee unatamani time zisiende dah basi tu..huyu mtu kajaaliwa kwakweli sijapata kuona
 
artual vidal atawanyosha tu najua it wil be a second final mtabomolewa argentina
 
ARGENTINA HAMUWEZI CHILE,HAWA MADOGO WANAPIGA BURUNGE HATAREE

acha kujisemea! unaweza kunitajia kundi alilokuwa Argentina lilikua na timu zipi?? pia nani aliyeongoza hilo kundi????!!

Tatizo mnapenda kuropoka bila kujua kinachoendelea
 
Jamani mmelala?

Alfajiri ya leo Tunakipiga na Obama

Albiceleste & USA Saa 10 kamili ya alfajiri,
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Leo ni leo..acha tumshikishe adabu huyo anaejiita Super Power wa dunia...
 
  • Thanks
Reactions: PNC
1 S. Romero
4 G. Mercado
8 A. Fernández
9 G. Higuaín
10 L. Messi
13 Ramiro Funes Mori
14 J. Mascherano
16 M. Rojo
17 N. Otamendi
19 É. Banega
22 E. Lavezzi
 
Back
Top Bottom