Argentina ukibisha weka mzigo
UKUMBUKE CHILE ALIMPIGA ARGENTINA FINAL ILIYOPITA
Wewe muargentina?πMkuu Hapo sibishi kabisa,kombe hili ni halali yetu...so kesho-kutwa tunampiga chile kama tatu ivi,
Copa america inachezwa kila baada ya muda gani
Wewe muargentina?
Dah! me bhana mbrazil sema najua kabisa sina team, tumeenda kusindikiza mabingwa tu mkuuYah Man,, wewe je
...mkuu BlackPanther, unajua wengine hatujasoma fasihi, au ndio 'kufia uwanjani' kwenyewe walikomaanisha!?Mkuu tumeshapigwa, 2-0 mpira unaendelea dkk 75
Argentina Siku zote ukitajiwa majina tu unaweza ukadhani Bonge la timu kiasi cha kwamba unaweza ogopa ingia uwanjani njoo kwenye uhalisia sasa huwa timu ya hovyo mno.πMkuu Hapo sibishi kabisa,kombe hili ni halali yetu...so kesho-kutwa tunampiga chile kama tatu ivi,
Argentina Siku zote ukitajiwa majina tu unaweza ukadhani Bonge la timu kiasi cha kwamba unaweza ogopa ingia uwanjani njoo kwenye uhalisia sasa huwa timu ya hovyo mno.
hivi kwa time za kwetu inakuwa mida gani manake nina usongo nalo ila ndio time sijui
...mkuu BlackPanther, unajua wengine hatujasoma fasihi, au ndio 'kufia uwanjani' kwenyewe walikomaanisha!?