Coeng
Member
- Oct 13, 2014
- 28
- 49
- Thread starter
- #21
Mechi nyingine ya kundi A iliendelea usiku wa kuamkia leo.Paraguay dhidi ya Costa Rica zatoka sare.Jionee mambo yalivyokuwa
Costa Rica vs Paraguay
Costa Rica vs Paraguay
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Argentina ukibisha weka mzigo
UKUMBUKE CHILE ALIMPIGA ARGENTINA FINAL ILIYOPITA
Wewe muargentina?😀Mkuu Hapo sibishi kabisa,kombe hili ni halali yetu...so kesho-kutwa tunampiga chile kama tatu ivi,
Copa america inachezwa kila baada ya muda gani
Wewe muargentina?
Dah! me bhana mbrazil sema najua kabisa sina team, tumeenda kusindikiza mabingwa tu mkuuYah Man,, wewe je
...mkuu BlackPanther, unajua wengine hatujasoma fasihi, au ndio 'kufia uwanjani' kwenyewe walikomaanisha!?Mkuu tumeshapigwa, 2-0 mpira unaendelea dkk 75
Argentina Siku zote ukitajiwa majina tu unaweza ukadhani Bonge la timu kiasi cha kwamba unaweza ogopa ingia uwanjani njoo kwenye uhalisia sasa huwa timu ya hovyo mno.😀Mkuu Hapo sibishi kabisa,kombe hili ni halali yetu...so kesho-kutwa tunampiga chile kama tatu ivi,
Argentina Siku zote ukitajiwa majina tu unaweza ukadhani Bonge la timu kiasi cha kwamba unaweza ogopa ingia uwanjani njoo kwenye uhalisia sasa huwa timu ya hovyo mno.
hivi kwa time za kwetu inakuwa mida gani manake nina usongo nalo ila ndio time sijui
...mkuu BlackPanther, unajua wengine hatujasoma fasihi, au ndio 'kufia uwanjani' kwenyewe walikomaanisha!?