Et king messi alifanya nn kwny kombe la dunia vs germany na fainali ya copa america vs chile na izo mechi Di marie ndo hakucheza Argentina ina bebebwa na Di marieThubutuuuu kama hujui uwepo wa King Messi hata akiwa sub unawatisha mabeki waliopo uwanjani
Unauliza kafanya nini wakati unajua Kuwa alikuwa jeshi la mtu mmoja hata Huyo Maria hakucheza nusu ila King aliitisha ArgentinaEt king messi alifanya nn kwny kombe la dunia vs germany na fainali ya copa america vs chile na izo mechi Di marie ndo hakucheza Argentina ina bebebwa na Di marie
Wamarekan naona wameamka
Et king messi alifanya nn kwny kombe la dunia vs germany na fainali ya copa america vs chile na izo mechi Di marie ndo hakucheza Argentina ina bebebwa na Di marie
Nimeulewa uchambuzi wako mkuu..lakin ukiniambia Angel di maria ni bora kuliko neymar hapo nakataa kabisa..namkubali di maria ni mchezaji mzur lakin ney anakitu cha ziada ambacho naamin di maria hana.uwepo wa messi barcelona unamfanya tumuone neymar mchezaji wa kawaida but naamin neymar akipewa majukum makubwa pale barca atafanya vizur sana..kama utakumbka vzur kiwango alichoonyesha kipind messi yupo majeruh...aiseee neymar kwangu still the best mkuukwa messi ntakujibu kiufupi! Messi ni greatest player of all time kuwahi kutokea, sasa usitegemee mabeki watamwacha alone muda wote never, chunguza mechi kubwa kubwa kwa miaka ya hivi karibuni to now utaona kazungukwa na mabeki wangapi,ni wengi!, messi asipowepo uwanjani hakiharibiki kitu na timu nzima itacheza vizuri kama kawaida yao..kwa namna nyingine akiwepo atazidisha mashambulizi zaidi na kuscore, na hata ukifuatilia timu ambazo amekutana nazo GERMANY,SPAIN,BRAZIL,PARAGUAY,SWITZEALAND NK..Utaona alivyowanyanyasa mabeki wanaojulikana
Kuhusu Angel Di Maria ni bonge la mchezaji nakubaliana na wewe 100%..hata Neimar mwenyewe hafiki hata robo kwa huyu jamaa, nilitamani sana wakati yupo man u wamnunue pale baserona yaani angewafaa sana kuliko neimar kazi yake kuruka ruka tu na kujiangusha pasipo na sababu,Dybala pia anafaa lkn hawakumpanga ktk kikosi na hata mechi za nyuma hakuwepo lkn ni striker hatari sana.Argentina ina majembe bwana sio mchezo, hata timu yenyewe inacheza kitimu basi tu except kocha ndiye anatuangusha mkuu, ni heri tukapata new kocha..huyu hatufai kabisa. Argentina sio timu ya kukosa makombe ya dunia miaka yote hii since 1986, hili ni tatizo la makocha tu.hata 2010 maradona alijiamini akasema watafanya mashambulizi zaidi ya difence, wakapigwa 4 na mjerumani.
Dyabala tutamuona kwny olympics gameskwa messi ntakujibu kiufupi! Messi ni greatest player of all time kuwahi kutokea, sasa usitegemee mabeki watamwacha alone muda wote never, chunguza mechi kubwa kubwa kwa miaka ya hivi karibuni to now utaona kazungukwa na mabeki wangapi,ni wengi!, messi asipowepo uwanjani hakiharibiki kitu na timu nzima itacheza vizuri kama kawaida yao..kwa namna nyingine akiwepo atazidisha mashambulizi zaidi na kuscore, na hata ukifuatilia timu ambazo amekutana nazo GERMANY,SPAIN,BRAZIL,PARAGUAY,SWITZEALAND NK..Utaona alivyowanyanyasa mabeki wanaojulikana