Copa America: Habari matukio na video za mechi na yote yaliyojiri utayapata hapa

Thubutuuuu kama hujui uwepo wa King Messi hata akiwa sub unawatisha mabeki waliopo uwanjani
Et king messi alifanya nn kwny kombe la dunia vs germany na fainali ya copa america vs chile na izo mechi Di marie ndo hakucheza Argentina ina bebebwa na Di marie
 
Unauliza kafanya nini wakati unajua Kuwa alikuwa jeshi la mtu mmoja hata Huyo Maria hakucheza nusu ila King aliitisha Argentina
 
Et king messi alifanya nn kwny kombe la dunia vs germany na fainali ya copa america vs chile na izo mechi Di marie ndo hakucheza Argentina ina bebebwa na Di marie

kwa messi ntakujibu kiufupi! Messi ni greatest player of all time kuwahi kutokea, sasa usitegemee mabeki watamwacha alone muda wote never, chunguza mechi kubwa kubwa kwa miaka ya hivi karibuni to now utaona kazungukwa na mabeki wangapi,ni wengi!, messi asipowepo uwanjani hakiharibiki kitu na timu nzima itacheza vizuri kama kawaida yao..kwa namna nyingine akiwepo atazidisha mashambulizi zaidi na kuscore, na hata ukifuatilia timu ambazo amekutana nazo GERMANY,SPAIN,BRAZIL,PARAGUAY,SWITZEALAND NK..Utaona alivyowanyanyasa mabeki wanaojulikana

Kuhusu Angel Di Maria ni bonge la mchezaji nakubaliana na wewe 100%..hata Neimar mwenyewe hafiki hata robo kwa huyu jamaa, nilitamani sana wakati yupo man u wamnunue pale baserona yaani angewafaa sana kuliko neimar kazi yake kuruka ruka tu na kujiangusha pasipo na sababu,Dybala pia anafaa lkn hawakumpanga ktk kikosi na hata mechi za nyuma hakuwepo lkn ni striker hatari sana.Argentina ina majembe bwana sio mchezo, hata timu yenyewe inacheza kitimu basi tu except kocha ndiye anatuangusha mkuu, ni heri tukapata new kocha..huyu hatufai kabisa. Argentina sio timu ya kukosa makombe ya dunia miaka yote hii since 1986, hili ni tatizo la makocha tu.hata 2010 maradona alijiamini akasema watafanya mashambulizi zaidi ya difence, wakapigwa 4 na mjerumani.
 
Nimeulewa uchambuzi wako mkuu..lakin ukiniambia Angel di maria ni bora kuliko neymar hapo nakataa kabisa..namkubali di maria ni mchezaji mzur lakin ney anakitu cha ziada ambacho naamin di maria hana.uwepo wa messi barcelona unamfanya tumuone neymar mchezaji wa kawaida but naamin neymar akipewa majukum makubwa pale barca atafanya vizur sana..kama utakumbka vzur kiwango alichoonyesha kipind messi yupo majeruh...aiseee neymar kwangu still the best mkuu
 
kwa messi ntakujibu kiufupi! Messi ni greatest player of all time kuwahi kutokea, sasa usitegemee mabeki watamwacha alone muda wote never, chunguza mechi kubwa kubwa kwa miaka ya hivi karibuni to now utaona kazungukwa na mabeki wangapi,ni wengi!, messi asipowepo uwanjani hakiharibiki kitu na timu nzima itacheza vizuri kama kawaida yao..kwa namna nyingine akiwepo atazidisha mashambulizi zaidi na kuscore, na hata ukifuatilia timu ambazo amekutana nazo GERMANY,SPAIN,BRAZIL,PARAGUAY,SWITZEALAND NK..Utaona alivyowanyanyasa mabeki wanaojulikana

Kuhusu Angel Di Maria ni bonge la mchezaji nakubaliana na wewe 100%..hata Neimar mwenyewe hafiki hata robo kwa huyu jamaa, nilitamani sana wakati yupo man u wamnunue pale baserona yaani angewafaa sana kuliko neimar kazi yake kuruka ruka tu na kujiangusha pasipo na sababu,Dybala pia anafaa lkn hawakumpanga ktk kikosi na hata mechi za nyuma hakuwepo lkn ni striker hatari sana.Argentina ina majembe bwana sio mchezo, hata timu yenyewe inacheza kitimu basi tu except kocha ndiye anatuangusha mkuu, ni heri tukapata new kocha..huyu hatufai kabisa. Argentina sio timu ya kukosa makombe ya dunia miaka yote hii since 1986, hili ni tatizo la makocha tu.hata 2010 maradona alijiamini akasema watafanya mashambulizi zaidi ya difence, wakapigwa 4 na mjerumani.
Dyabala tutamuona kwny olympics games
 
Half Time
Uruguay 0 Venezuela 1
 
Uruguay pamoja na kuwa na wachezaji wanaowika ulaya kama Suarez na Cavan imeaga mashindano raundi ya kwanza tu
 
Muda wa USA ni tatizo.

Nasikitika kuwa sitaangalia game hizo.

Nasubiria Euro yenye muda rafiki.
 
Mechi ya kwanza itapigwa saa saa Nane kamili ya usiku
Screenshot_2016-06-11-00-46-55-1.png

Mechi ya pili itapigwa saa 10:30 ya Usiku
Screenshot_2016-06-11-00-45-56-1.png
 
CHILE 2-1 BOLIVIA

NOW..ARGENTINA AND PANAMA Zimebaki dkk 2 mpira uanze
 
Nimemis sana hizi habari toka kombe la Dunia Brazil
 
Screenshot_2016-06-11-07-14-09-1.png

Dah mpira umenoga,Albiceleste wanacheza ka vile wapo mazoezini😀,Mfalme katupia la 3, bonge la goal la free kick
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom