Argentina mabingwa watarajiwa wameendelea kutisha baada ya kuisulubu Bolivia Goli 3:0
USA wameingia nusu fainal baada ya kuichapa Ecuador 2:1
Argentina mabingwa watarajiwa wameendelea kutisha baada ya kuisulubu Bolivia Goli 3:0
Wakubali wasikubali tunabeba hiyo ndoo, mfalme wa soka kuwahi kutokea hapa duniani tunamuona kwa mbali akikabidhiwa
Wazee wa Basketball na wenyewe kumbe wamo!
😀😀Ngoja wakutane na mafundi wa soka the white and Sky blue Atakula km 6 hivi
Sitoacha ishabikia chama langu Argentina
Wananipa raha mnoo,, ukiwacheki wanavyosakata kandanda mpaka unatamani dkk zisiende haraka
Albiceleste + Barcelona= Ndugu wa damu, hata wanavyosakata kandanda wamefanana kila kitu 😀 exept Baserona imekosa defence tu.
Chile na Mexico itapigwa saa 11 ya Alfajiri kwa saa za bongo