Copa America: Habari matukio na video za mechi na yote yaliyojiri utayapata hapa

Copa America: Habari matukio na video za mechi na yote yaliyojiri utayapata hapa

Argentina mabingwa watarajiwa wameendelea kutisha baada ya kuisulubu Bolivia Goli 3:0

Wakubali wasikubali tunabeba hiyo ndoo, mfalme wa soka kuwahi kutokea hapa duniani tunamuona kwa mbali akikabidhiwa
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Argentina mabingwa watarajiwa wameendelea kutisha baada ya kuisulubu Bolivia Goli 3:0



ndo timu ambayo imekamilika kila idara, naipenda saana Albiceleste kuliko taifa stars,

Vivaa Albiceleste
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Wazee wa Basketball na wenyewe kumbe wamo!

😀😀Ngoja wakutane na mafundi wa soka the white and Sky blue Atakula km 6 hivi

Hahahahaa mkuu unanikumbusha mechi moja ivi Argentina alimpiga ecuador goli 12 kwa 0
 
Sitoacha ishabikia chama langu Argentina
Wananipa raha mnoo,, ukiwacheki wanavyosakata kandanda mpaka unatamani dkk zisiende haraka

Albiceleste + Barcelona= Ndugu wa damu, hata wanavyosakata kandanda wamefanana kila kitu 😀 exept Baserona imekosa defence tu.

Umeona na weye eeee...
 
Ma-fans wa Albiceleste Leo ni leo,mechi itapigwa saa Nane kwa saa za bongo

Screenshot_2016-06-18-22-01-53-1-1.png
Screenshot_2016-06-18-22-02-17-1.png


Top New
Screenshot_2016-06-18-22-20-14-1.png
Screenshot_2016-06-18-22-07-23-1.png
Screenshot_2016-06-18-22-07-55-1.png
Screenshot_2016-06-18-22-08-06-1.png
Screenshot_2016-06-18-22-20-01-1.png
Screenshot_2016-06-18-22-13-24-1.png

View attachment 357819
Screenshot_2016-06-18-22-13-36-1.png
Screenshot_2016-06-18-22-13-53-1-1.png


Screenshot_2016-06-18-22-19-50-1.png

Screenshot_2016-06-18-22-17-12-1.png
Screenshot_2016-06-18-22-17-19-1.png

Screenshot_2016-06-18-22-17-24-1.png
 
Back
Top Bottom