Copa Libertadores Final: Boca Juniors and River Plate - LIVE

Copa Libertadores Final: Boca Juniors and River Plate - LIVE

DesertStorm

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2015
Posts
3,131
Reaction score
2,537
Huu ni uwanja wa La Bombonera, unaambiwa mashabiki zaidi ya 49,000 walijazana hivi kuangalia mazoezi 😱💙💛 ya timu yao Boca Juniors.Thats football in its best manifestation
20181123_142610.jpg
20181123_142515.jpg
20181123_142453.jpg
20181123_142417.jpg

Tomorrow is a second leg, the first leg was a 2-2 draw at La Bombonera...The second leg will take place at Monumental/River Plate

Mechi itapigwa saa 23:00 usiku kwa saa za afrika mashariki.

My take, hii derby siyo ya kukosa ndugu zangu, ni moja kati ya derby bora duniani na yenye washabiki wengi mno!

LIVE STREAMING ~ EUROSPORT HD1

LIVE NOW! - Broddi Streams

Das Programm von DAZN: Alle LIVE-STREAMS im Überblick | Goal.com

River Plate vs Boca Juniors: TV channel, live stream, kick off time and teams
 
Huu ni uwanja wa La Bombonera, unaambiwa mashabiki zaidi ya 49,0000 walijazana hivi kuangalia mazoezi [emoji33][emoji170][emoji169] ya timu yao Boca Juniors.Thats football is its best manifestation
View attachment 944019View attachment 944020View attachment 944021View attachment 944022

My take, hii derby siyo ya kukosa ndugu zangu, ni moja kati ya derby bora duniani na yenye washabiki wengi zaidi kuliko derby yeyote ile!
Uliambiwa na nani kuwa ndiyo yenye mashabiki wengi kuliko derby yoyote?
 
Niliongea na my friend muajentina anasema maafa ya hiyo mechi ni hatari.. Kufa lazima watu wafe yani kunafanatics hatare
 
Niliongea na my friend muajentina anasema maafa ya hiyo mechi ni hatari.. Kufa lazima watu wafe yani kunafanatics hatare

Hahahaa hao jamaa kwenye iyo derby yao ukikosa penalti basi ukajinyonge mwenyewe 😀😀
 
Nawaza kwa sauti kama hii tim ya Boca Juniors ingekuwa inacheza moja kati ya zile ligi tano kubwa ulaya sijui ingekuwaje.....
 
Nawaza kwa sauti kama hii tim ya Boca Juniors ingekuwa inacheza moja kati ya zile ligi tano kubwa ulaya sijui ingekuwaje.....

Ki mpira ulaya wako mbali sana . Boca akiingia UEFA Kwa mfano atapigwa sana ulaya achana nayo, kule hakuna wachezaji wa mpira bali wafanyakazi, mtu kama Bale ni mfanyakazi wa mpira . Ukitaka kuamini angalia Barca walipocheza na Santos kipindi Neymar yuko santos na santos ilikuwa juu sana lakini mpira waliutafuta Kwa tochi , kiufupi mechi ilikuwa nyepesi .
 
Labda waje Africa hapo ndio ushindani wa mpira utakuwepo sio ulaya
 
Back
Top Bottom