Plesis JF-Expert Member Joined Dec 24, 2012 Posts 945 Reaction score 856 Jul 22, 2013 #1 Jana ndo nimeamin wahenga wazushi kweli! Nilikuwa sina usingizi na nahitaji kulala. Bac nimeamsha watu 9 lakin wapi. Si walisema "USIMWAMSHE ALIYELALA UTALALA WEWE" Ebwanaee bac nimewaamsha watu 9 lakin hadi sa hivi sijalala! Wahenga bwana!!!
Jana ndo nimeamin wahenga wazushi kweli! Nilikuwa sina usingizi na nahitaji kulala. Bac nimeamsha watu 9 lakin wapi. Si walisema "USIMWAMSHE ALIYELALA UTALALA WEWE" Ebwanaee bac nimewaamsha watu 9 lakin hadi sa hivi sijalala! Wahenga bwana!!!
cyrustheruler JF-Expert Member Joined Jul 20, 2015 Posts 2,044 Reaction score 1,869 May 14, 2017 #2 Nhahaaa