Copy and Paste Inaiumiza CHADEMA

Copy and Paste Inaiumiza CHADEMA

Comparative politics analysis kwenye political parties ndani ya nchi ni muhimu sana ila analysis ikiwa imejikita kwenye hisia hasi, mitazamo hasi dhidi ya chama fulani hatuwezi kuuita uchambuzi hizi ni political propaganda tu. Sababu wewe unaisema chadema tu ila ujaona vyama vingine kama Act wazalendo nk vyenye mifumo hiyo hiyo.

Huwezi anzisha mfumo mpya nje ya mfumo uliokuwepo kabla sababu siasa ni utamaduni kama utamaduni mwingine katika nchi fulani.

Sera kuwa na mfanano sio hoja ya msingi sababu vyote vinawalenga watu walewale ndani ya nchi moja wenye utamaduni na desturi moja japo kwa itikadi tofauti. Hata Amerika wote republican na democratic Wana sera zinazoendana na kufanana ila utekelezaji kila mtu ana mbinu zake.
 
Back
Top Bottom