Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,934
'Ati' miliki, ndo nini!? na wewee!Ilo neno (fire) huyo LLP ana ati miliki sio basi sawa .
ww jamaa unatokea wapi sasa tittle ndo kukopy mbona wasanii kibao wana nyimbo zinafanana tittleLLP Feat MIKE DIAMONDIZ - Muziki: FIRE"
Diamond platnumz feat Tiwa Tiwa Savage - Muziki: FIRE.
Hitimisho: Diamond kakopi na kupaste Nina LA muziki kutoka kwa msanii mwingine.
Swali: wasanii Wa kibongo ni lini mtaacha tabia ya kukopi na kupaste na muanze kuumiza vichwa vyenu katika kutunga au kubuni kazi zenu?
Chanzo: you - Tube