Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,934
mtoa mada rudi shule...au una mimba...kichwa chako cheupe sana...hata logic huna...you are too naive...unaishi kune chungu nini...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
'Ati' miliki, ndo nini!? na wewee!Ilo neno (fire) huyo LLP ana ati miliki sio basi sawa .
ww jamaa unatokea wapi sasa tittle ndo kukopy mbona wasanii kibao wana nyimbo zinafanana tittleLLP Feat MIKE DIAMONDIZ - Muziki: FIRE"
Diamond platnumz feat Tiwa Tiwa Savage - Muziki: FIRE.
Hitimisho: Diamond kakopi na kupaste Nina LA muziki kutoka kwa msanii mwingine.
Swali: wasanii Wa kibongo ni lini mtaacha tabia ya kukopi na kupaste na muanze kuumiza vichwa vyenu katika kutunga au kubuni kazi zenu?
Chanzo: you - Tube