Copy Hii Mbinu Konki Inayopuuzwa na Watanzania Wengi Itakayokufanya uwe sehemu ya mgawao Wa Tsh 550.8bn 2025

Copy Hii Mbinu Konki Inayopuuzwa na Watanzania Wengi Itakayokufanya uwe sehemu ya mgawao Wa Tsh 550.8bn 2025

Joined
Jul 19, 2021
Posts
15
Reaction score
52
Mpendwa Mwekezaji
.
Je Unapenda Kuwa sehemu ya mgawao Wa Tsh 550.8bn??
M
Kama Jibu ni Ndio Basi soma hii Hadi mwisho
.
Benki ya Crdb plc Kupitia report yake ya Fedha imetengeneza Faida ya Tsh 550.8 Kwa mwaka ulioishia 2024
.
Ambapo Faida Kabla Ya Kodi ilikuwa ni Tsh 783.8bn, hii ni sawa na Ongezeko la 31% kutoka mwaka uliopita wa 2023.
.
Na...
.
Faida baada ya Kodi ilikuwa ni Tsh 550.8bn sawa na Ongezeko la 30.3% kutoka mwaka wa fedha wa 2023
.
Na hii ndiyo Faida yenyewe Ambayo wanahisa Wa Crdb wataenda Kujipatia kama Gawio kulingana umiliki Wao Hisa
.
Ambapo...
.
Gawio la mwaka huu Kwa Wanahisa Wa Crdb linaweza kuwa TZS 65 mpaka TZS 70 kwa kila hisa moja

Hii ni kutokana na sera ya gawio ya kampuni hiyo ambayo ni 35% ya faida ya mwaka.

Kwahiyo endapo na Wewe ni mmiliki au unatamani Kuwa sehemu ya umiliki Wa Bank Hiyo basi Mwezi June utakuwa sehemu ya mgawao Wa faida ya Tsh 550.8 bn
.
Na ikumbukwe Kuwa
.
benki ya CRDB Group Inamiliki Juma ya Mali zenye Thamani ya Tsh 16.6trl, Ikiwa ndiyo Benki ya kwanza Kwa umiliki Wa Mali Tanzania (Largest Bank by Assets)
.
Na...
.
Kwa miaka 5 mfululizo iliyopita imekuwa ikitengeneza faida.... na faida imekuwa ikikua Kila mwaka
.
Lakini Je!
.
Wewe unamiliki hisa za CRDB pale Soko la Hisa la Dar Es Salaam?
.
Kama Jibu ni Ndio ....Basi ...."Well And Good"
.
Na kama bado hujaanza Kuwekeza na unatamani Kuanza Kuwekeza Lakini Bado hujui wapi pa kuanzia
.
Basi ondoa shaka Kuhusu hilo
.
kwani nitaenda kukushika mkono na kukufundisha exactly...
.
Jinsi ya Kuanza Kuwekeza Kwenye Hisa za Crdb au Hisa za makampuni mengine Kibao Ambayo yapo listed Kwenye soko la Hisa
.
Kama Ambavyo nilivyowasaidia wengine Zaidi ya 100+ Ambao tayari wameweza kuchagua na Kuanza Kuwekeza Kwenye kampuni nzuri zenye uhakika Wa Kuwapatia Faida.
.
Ambapo na wewe utaenda kuungana na wengine Kibao wanaopenda Kujifunza Masuala ya Uwekezaji Kwenye Magroup Konki ya Uwekezaji .

Tayari Kwa Kujifunza Zaidi Masuala mazima ya Uwekezaji Katika Hisa Hatifungani pamoja Utt Amis
.
Na SI Hivyo Tu.
.
Pia utajipatia Ebook yangu ya Uwekezaji Katika Hisa Inayoitwa....
.
Mwongozo Rahisi Wa Kuwa mwekezaji Bora Katika Soko la Hisa
.
Humo utaenda Kujifunza kiundani Zaidi Kuhusiana na Uwekezaji Katika Hisa.
.
Lakini pia utatumiwa Ebook Konki za Masuala ya Personal Finance.
.
Humo utaenda Kujifunza kiundani Zaidi Kuhusiana na Elimu ya Fedha Akiba na Uwekezaji
.
Kwahiyo....
.
Utakuwa FITI Sana Linapokuja Suala la Personal Finance
.
Na Good news ni Kwamba madini yotee haya yenye Thamani ya zaidi ya Tsh Tsh 35,000/=
.
Leo utaenda Kuyapata Kwa Exclusive OFFER ya....

Tsh 7,999= Tu!

[OKOA Tsh 27,001 Nzima Ya Bajeti Yako]
.
Kwahiyo kama upo interested na Hutaki Tena kupitwa na Fursa za Uwekezaji Basi Lipia mapema Tsh 7,999 Tu Kujipatia Elimu Mhimu ya Uwekezaji. Namba ya malipo
.
M-PESA/MIXX BY YASS
.
074-405-6473 / 067-614-7714
.
Jina: Habakuki Makao
.
Baada ya Malipo nitumie Ujumbe WhatsApp WhatsApp

Nikutumie Link ya group la Uwekezaji pamoja na Ebook zoote Ndani ya DKK 2 Tu Kwenye WhatsApp yako!
.
PS: Endapo ikatoke umelipia na elimu uliyoipata humo haijaweza kukusaidia Kwenye Kufanya Uwekezaji Ndani ya siku 30 zijazo basi dai Hela YAKO
.
...nitakurudishia Hela Yako na Ebooks utabaki nazo
.
Kwahiyo:
.
Hakuna Risk Yeyote upande Wako
.
Anyway Chagua ni Lako.
.
Hasta La Vista!
.
© Habakuki Hussen.
 
CRDB ndo habari ya mjini kwa sasa. Niliwasanua watu kitambo humu kwa kutoa pesa zangu UTT na kuzitupa CRDB kwa 650 per share wakanicheka. Saivi mchongo unasoma 720 per share na Bado Ngoma IPO Hot kinoma😂😂😂😂. Now Hisa 137,800 na Bado nafanya Top ups. Yajayo .......
 
CRDB ndo habari ya mjini kwa sasa. Niliwasanua watu kitambo humu kwa kutoa pesa zangu UTT na kuzitupa CRDB kwa 650 per share wakanicheka. Saivi mchongo unasoma 720 per share na Bado Ngoma IPO Hot kinoma😂😂😂😂. Now Hisa 137,800 na Bado nafanya Top ups. Yajayo .......
CRDB ndo habari ya mjini kwa sasa. Niliwasanua watu kitambo humu kwa kutoa pesa zangu UTT na kuzitupa CRDB kwa 650 per share wakanicheka. Saivi mchongo unasoma 720 per share na Bado Ngoma IPO Hot kinoma😂😂😂😂. Now Hisa 137,800 na Bado nafanya Top ups. Yajayo .......
Elimu please 🙏
 
Back
Top Bottom