ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Kwema???
Sina uhakika kama hii thread ni mahala pake ila nategemea wenye ujuzi na mambo haya watapatikana huku.
Kuapply for copyrights au patents hapa nchini kwetu, je, ni Institution gani inayohandle jambo hili?
Ninataka kuapply for software patent. Nimeangalia forms za COSOTA (Copyright Society of Tanzania) lakini naona zimebase sana kwa artistic na multimedia works, na kidogo literary works.
Nilitazama za BRELA, ila sasa zina utata fulani, yani clarity ni ndogo, na inaonekana hawa wako more kwenye kuregister businesses na companies.
Kwa mwenye ufahamu juu ya hili, mchango wako tafadhali.
Shukran.