Copyrights and Patenting

Copyrights and Patenting

ISO M.CodD

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2013
Posts
7,845
Reaction score
16,942
Kwema???

Sina uhakika kama hii thread ni mahala pake ila nategemea wenye ujuzi na mambo haya watapatikana huku.

Kuapply for copyrights au patents hapa nchini kwetu, je, ni Institution gani inayohandle jambo hili?

Ninataka kuapply for software patent. Nimeangalia forms za COSOTA (Copyright Society of Tanzania) lakini naona zimebase sana kwa artistic na multimedia works, na kidogo literary works.

Nilitazama za BRELA, ila sasa zina utata fulani, yani clarity ni ndogo, na inaonekana hawa wako more kwenye kuregister businesses na companies.

Kwa mwenye ufahamu juu ya hili, mchango wako tafadhali.

Shukran.
 
Na mimi nahitaji kufanya hivyo mwenye kujua atwambie
 
Swala la utoaji information kwenye taasisi za umma ni shidaa. Yaani kwenye website wamejaza tu mipacha picha hakuna info za maana kuhusu huduma zinazotolewa na namna ya ku access hizo huduma.
 
Swala la utoaji information kwenye taasisi za umma ni shidaa. Yaani kwenye website wamejaza tu mipacha picha hakuna info za maana kuhusu huduma zinazotolewa na namna ya ku access hizo huduma.

The Most paying well is the information business sasa kama wewe uko na,information just jua kuwa kuna mtu anahitaji hio information na anaweka kulipa any amount ili aweze pata hio taarifa/information . Changamka acha kulala na ifanyie kazi
 
Mkuu anza na BLERA Kwanza, suala la patent ni refu kidogo na kama unahitaji kujua rights and liabilities huna budi kuisoma THE PATENT ACT vizuri!
 
Back
Top Bottom