.......Interesting story.
Kwa historia ya siasa za Africa, ukiona mgombea anaanza kuita press conference wakati kura bado zinahesabiwa huwa ni kielelezo cha kushindwa katika uchaguzi. Hii anafanya hivyo ili kuamsha ari na hamasa kwa wafuasi na wapenzi wake kujiandaa kwa kugomea matokeo (political pre-emptive strike).
Baada ya kura kukaribia kumalizika kuhesabiwa ndiyo anayaona hizo dosari?.
Hizi ndizo siasa zetu, there's nothing new.
Mara ya kwanza walisema tatizo ni safaricom kudoctor the results. Sasa katika hii manula work wanamlaumu nani?
Waswahili walinena kuwa....'mfa maji haishi kutapatapa'
Daima nitadumisha semi hizi za waswahili.
.......
more than a shame, kumbe hata katiba mpya bila kuwa na watu ambao wanajitolea kutenda haki hakuna kitu aisee.
more than a shame, kumbe hata katiba mpya bila kuwa na watu ambao wanajitolea kutenda haki hakuna kitu aisee.
So far watu wa nakuru voted without even a voters card....wat do u espect
Tatizo la Raila anafikiri alizaliwa awe rais wa Kenya. Zitokea fujo this time ndiye atakuwa amesababisha.
Anaeweza kukataa ushindi wa Uhuru basi hajui takwimu na hajui stronghold za wagombea hao wawili.
Ushindi kwa Uhuru ulikuwa wazi sana
yaani tangu niko kindagateni namsikia tu raila raila hivi hawa watu hawachoki kugombea wakapumzika.Tatizo la Raila anafikiri alizaliwa awe rais wa Kenya. Zitokea fujo this time ndiye atakuwa amesababisha.
.......Interesting story.
Kwa historia ya siasa za Africa, ukiona mgombea anaanza kuita press conference wakati kura bado zinahesabiwa huwa ni kielelezo cha kushindwa katika uchaguzi. Hii anafanya hivyo ili kuamsha ari na hamasa kwa wafuasi na wapenzi wake kujiandaa kwa kugomea matokeo (political pre-emptive strike).
Baada ya kura kukaribia kumalizika kuhesabiwa ndiyo anayaona hizo dosari?.
Hizi ndizo siasa zetu, there's nothing new.
To cut it short, the Kenyans have spoken. Everyone including Raila should respect their voice. Aache kulialia kila anaposhindwa.yaani tangu niko kindagateni namsikia tu raila raila hivi hawa watu hawachoki kugombea wakapumzika.
Nakumbuka alivyoparangana mpaka akaupata Uwaziri Mkuu kw mbinde.
Mkuu, Kuitisha press conference kutoa dukuduku lako huwezi kulinganisha na "has reportedly".Soma hapa chini... Uhuru Kenyatta pia amelalamika...
As the vote counting in Kenya enters a third day, and a run-off begins to look more likely, Uhuru Kenyatta's party has reportedly lashed out at the British High Commissioner.
Source: http://african.howzit.msn.com/kenya-awaits-election-results
Kenya Awaits Election Results - Howzit MSN Africa