Rubi
JF-Expert Member
- Oct 5, 2009
- 1,615
- 331
Umenikumbusha ya Mrema enzi zile alivyokosa kura vunjo akasema kwelinimeamini CCM balaa haiwezekani nikose hata kura moja yaani ni kusema hata mimi mwenyewe sijajipigia, mke wangu je, yaani hata watoto wangu.Ina maana umesahau au umechanganyikiwa?
ninachofikiri labda hizo kura zinaweza kuwa kati ya zilizoharibika, si unajua tena mashikoro mageni