CORD Raises Credibility Concerns Of Results Being Released.

CORD Raises Credibility Concerns Of Results Being Released.

Ina maana umesahau au umechanganyikiwa?
Umenikumbusha ya Mrema enzi zile alivyokosa kura vunjo akasema kwelinimeamini CCM balaa haiwezekani nikose hata kura moja yaani ni kusema hata mimi mwenyewe sijajipigia, mke wangu je, yaani hata watoto wangu.

ninachofikiri labda hizo kura zinaweza kuwa kati ya zilizoharibika, si unajua tena mashikoro mageni
 
Back
Top Bottom