Ally Kombo
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 11,429
- 2,650
This time around, lazima itakula kwa Raila. Ruto is so strong, sio kama watu wanavyo m-fikiria. Kwenye kupitisha katiba almost alikuwa peke yake alikini alivuna kura za kotosha.
................he was trading himself, alikuwa akiwaonyesha nguvu ya block yake ! .........Augustino Mrema alikuwa akiita "mtaji"