Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Wadau hamjamboni nyote?
Siyo Mimi ni maneno ya Kiongozi Mkuu waasi congo kamanda nangaa alihojiwa karibuni
Anasema kuwa malengo yao ya kivita yatatimia kwa kuitwaa kishansha na kuwa wamejiandaa kikamilifu
Kwamba Dr congo ni failed state haitawaliki na taasisi zote za kiutawala, kijeshi, kipolisi na Usalama zimekufa ndiyo maana mataifa mbalimbali yamepeleka majeshi yao huko
Anafahamu kila kinachoendelea kama anavyomfahamu rafikiye wa zamani ambaye anadai alishiriki.kumuweka madarakani
Kwakuwa alimuumba shetani huyo yeye mwenyewe basi ameamua kwenda kumng'oa kwenye kiti cha enzi alichomuweka
Muwe na sabato njema