AHMARDZ
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 790
- 677
Habari wadau,
Hi ni kwa watalaam wa magari na wapenzi wa magari pia. Mimi naomba ushauri wenu au wakunielekeza wapi niende,mimi hapa na toyota corolla E110 ya 1998,engine 4aFe speed 220km/h gari ni ya muingereza nataka kuifanya iwe sports yani kwenye exhaust nataka mbewembwe kama za teza au subaru.naanzia wapi au nawaona watu gani wanisaidie kwa hilo picha za gari hizo hapo.