Corolla E110 sport car tunning

Corolla E110 sport car tunning

AHMARDZ

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2016
Posts
790
Reaction score
677
Habari wadau,
Hi ni kwa watalaam wa magari na wapenzi wa magari pia. Mimi naomba ushauri wenu au wakunielekeza wapi niende,mimi hapa na toyota corolla E110 ya 1998,engine 4aFe speed 220km/h gari ni ya muingereza nataka kuifanya iwe sports yani kwenye exhaust nataka mbewembwe kama za teza au subaru.naanzia wapi au nawaona watu gani wanisaidie kwa hilo picha za gari hizo hapo.
 

Attachments

  • 7.jpg
    7.jpg
    17.4 KB · Views: 57
  • WP_20171202_10_11_58_Pro.jpg
    WP_20171202_10_11_58_Pro.jpg
    97 KB · Views: 65
  • WP_20180611_07_43_10_Pro.jpg
    WP_20180611_07_43_10_Pro.jpg
    106.7 KB · Views: 60
  • WP_20180610_17_50_38_Pro.jpg
    WP_20180610_17_50_38_Pro.jpg
    98.1 KB · Views: 61
Mkuu ulaji wa mafuta ukoje??mi nna crolla 111 engine 4a-fe speed 220 ila inakula mafuta ni kiama mkuu lita moja inaenda kilometer 6 -7

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu ulaji wa mafuta ukoje??mi nna crolla 111 engine 4a-fe speed 220 ila inakula mafuta ni kiama mkuu lita moja inaenda kilometer 6 -7

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
mkuu mimi ni cc 1.6 wala haili sema kwa sasa natembelea mwisho namba tatu ndo inakula gear box chenga.msaada nataka kuifanya kama teza na subaru wapi naweza enda kwajili ya ma exhaust
 
Back
Top Bottom