Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kwan uzima au ubovu wa gari ni namba ya usajiri?
Msamehe mkuu gari amezijulia ukubwani huyuMkuu kwan uzima au ubovu wa gari ni namba ya usajiri?
Kununua namba B ni mtihaniSasa gari no.B ndugu sa hiz tunaelekea no.E huoni kua huyo Jamaa yako anataka kukupambanisha akuuzie mkweche?
Kuna gari namba b ziko vizuri kuliko zenye namba dSasa gari no.B ndugu sa hiz tunaelekea no.E huoni kua huyo Jamaa yako anataka kukupambanisha akuuzie mkweche?
unang'oa tu na kadi unabadilisha na mwaka wa yenyewe kutengenezwa unabadilisha duhNina gari namba B niking'oa namba plate halafu uweke namba D hakuna mtu wakubisha. gari ni matunzo tu
Huo ni uhuni mi nazngumzia gari yangu namba B jinsi ilivyotunzwaunang'oa tu na kadi unabadilisha na mwaka wa yenyewe kutengenezwa unabadilisha duh
Kweli mkuu ninayo Corolla ya hiyo engine namba "C" sasa hivi ina miaka 7 toka nichukue sijawahi kujuta. Engine sijawahi kuigusa, mimi ni kubadili engine oil, matairi na other minor services.... Wese lita 1 inaenda up to 12km.... Halafu uzuri mwingine watu hawanisumbui kuniazima maana hawataki manual...Tafuta fundi ukague kabla hamjauziana, hiyo ni moja ya injini Bora kutengenezwa na Toyota.
Chukua 5A haina shida imefanya vizuri Sana spea na mafundi wapo kila Kona.Usiogope maneno saizi watu wanaona 1NZ/2NZ za kwenye Vits/Runx/IST ndio kimbilio.
..exactly, ni engine ngumu, imara na hazinaga usumbufu wa mara kwa mara.Engine za 5A utazikuta Kwenye Carina Ti pia ni engine ngumu Sana..... tafuta fundi wa uhakika acheki engine na gear box kama ziko vizuri