Corona: Afrika CDC yaipa onyo Serikali ya Tanzania

Kutoa Takwimu sio suluhisho la kumaliza tatizo la COVD 19. Tunaendelea kuwaelekeza wananchi kuchukua tahadhari ya ugonjwa huo
What's wrong men
 
Kwa hiyo takwimu zinahitajika kutolewa ni za covid19 tu? Za malaria je, maana nasikia malaria inaua zaidi hata ya covid19.
 
Nakazia:

Wapewe nafasi watalaamu wa afya kutuvusha.

Tuwasikilize wao kwa maslahi ya afya zetu na wengine.

Mfano, wakisema tusifunge chochote kwa umadhubuti wa tahadhari wanazoshauri tuwasikilize wao.

Tusiwaingilie wala kuwashinikiza.
 
Short

Short sighted!
Hivi nyie mlienda shule ili mparrot kila mnachoambiwa na CDC - na wenzake wenye ajenda moja?

Ni hivi tushajua covid19 ipo, na inasambaa na watu wengi wameipata na njia za kujikinga tushaambiwa sana.

Sasa za kuambiwa changanya na zako ndio maana ya kwenda shule. Be critical, be independent in thought. Usidhani wanaokuuzia hizo vaccine wangefanikiwa kama wangekuwa na akili za kufuata upepo unakovuma. Dah!
 
Dikteta ametufikisha hapa na ndiyo anaitwa mzalendo
 
Mashirika yenye akili yanapeleka staff wake kupata chanjo, halafu eti tunaogopa chanjo ila tunatumia dawa za mitishamba....jamaa kanywa dawa za Covid za jamaa fulini wameharisha hadi wamekufa wawili.
Wapi!
 
Dikteta ndiyo hataki
 
Ni sawa kwenye mtaa wenu mnapambana na Kipindupindu....Nyumba zipo kumi ...wote mnatii usafi ila jirani mmoja ni jeuri hafanyi usafi wowote...huyu anakuwa risk kwenu wote

hapa ndipo Tanzania tumefikia sisi ndiyo wasambazaji wa virusi hivi duniani sababi hatufuati abc za kujikinga...

sisi ni kamanyule jirani JEURI ( mchafu)
 
Kuna vitu unaweza kufanya kama individual na kuna vitu lazima uvifanye kwa nguvu ya dola.

Unaweza kujilinda wewe binafsi lakini let say kwa mfano itakuwaje housegirl wako nyumbani, asipojilinda si anakuletea maradhi ndani ya nyumba yako?, si anaweza kuwapa hayo maradhi watoto wako?

Sasa ili kuondoa mtu kuwa na choice ya binafsi ya let say kuvaa au kutovaa barakoa ni lszima serikali iinforce hili jambo ili kuondoa uhiyari wa mtu katika kuvaa au kutovaa. Kwa kufanya hivyo, utamlinda housegirl wako, na eventually familia nzima ndani ya nyumba.

Kwa hiyo kiufupi ni hivi: Ukali na umakini unaoutumia kulinda Familia yako dhidi ya korona ndo ukali na umakini ambao serikali ilipaswa iwe nao kwa Taifa zima, maana Taifa ni familia kubwa
 
Kutoa Takwimu sio suluhisho la kumaliza tatizo la COVD 19. Tunaendelea kuwaelekeza wananchi kuchukua tahadhari ya ugonjwa huo
What's wrong men
You must be crazy
Statistics are important, hivi kama huna takwimu utafanyaje matibabu? Numbers/takwimu tell you all
 
Mashirika yenye akili yanapeleka staff wake kupata chanjo, halafu eti tunaogopa chanjo ila tunatumia dawa za mitishamba....jamaa kanywa dawa za Covid za jamaa fulini wameharisha hadi wamekufa wawili.
Hatuna uhakika chanjo ipi inatufaa, kwa hivyo sio suala la kuogopa chanjo. Halafu huyo jamaa yako aliyekunywa dawa sijui za nani halafu wakafa wawili, pole kwako na ndugu zake.
 
Serikali mnayoita siyo ya kidemokrasia mnataka tena itumie njia za kidikteta katika kudeal na mafua ya covid! Basi sawa. Natumaini watoto wako na mke wako umewafungia ndani ili kuhakikisha huko nje hawaendi kuleta covid. Au wakienda wasichangamane na wenzao. Au wakichangamana na wenzao wawe wamevaa barakoa. Basi buana na sisi tunafanya kama hivyo unavyofanya, assume kwamba elimu ya covid imeeleweka kwa taifa zima. Kwa nini hudhani raia hawajaielewa, ni wewe tu na wenzako fulani mlioielewa?

Basi waambieni na serikali waongeze udikteta dhidi ya HIV, n.k. Kwa nini covid19 tu?
 
Tujifungie kwani tunashida nao, waone kama tutakufa, Taifa kwa sasa linajitosheleza kwa kila kitu.
 
Hao wanaotuzodoa kwa hatua tulizochukua watoe hadharan mafanikio waliyopata dhidi ya Corona kwa hatua walizochukua ndio tuwaelewa
 
Aisee imefika hatua Taifa la Tanzania limekua adui wa dunia yani tunahujumu jitihada za dunia za kupambana na hili dude corona linaloiangamiza dunia.
 
Marekani na mataifa mengine tajiri wamefanya zaidi ya hayo ila wanarekodi vifo zaidi ya 2000 daily
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimeipenda hiyo code name

Yaani huyu [emoji481][emoji481][emoji481] ni tatizo
 
Huko walikoweka lockdown na kelele zao wamepona au wanakufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…