Si unaona walikinywa akiwemo Magufuli na wako hai na ni maraisi na mawaziri mfano Lukuvi ? Wewe ambaye hukunywa uko hoi unapigika kimaishaKama viongozi wetu walitumia kikombe cha babu ambacho hakikuwa na kipimo chochote cha kisayansi, wanatoa wapi nguvu ya kupinga dawa ya kimaabara?
Nenda BMH,mitungi ya oksijeni ni mingi kuliko ilivyokua mwanzo.
Sijajua ni kwanini.
Hamia SomaliaTanzania IPO kuzimu
Mabibi na mabwana, hatimaye tuko hapa sasa:
Afrika CDC imeionya Serikali ya Tanzania kuhusu namna inavyoshughulika na corona.
Kwa mujibu wa matangazo ya DW mchana huu, Afrika CDC imeionya Serikali ya Tanzania kuwa kwa namna hii na hili la kutotoa takwimu za ugonjwa huu, Tanzania inaliweka bara zima la Afrika hatarini.
Tumesema ya kutosha sasa yetu macho.
Tusipoangalia tutamlaumu sana beberu.
Ama kwa hakika aliona mbali sana aliyesema "asilaumiwe dobi kwani kaniki ni rangi yake."
Ninawasilisha.
Kwani bunge wamemaliza?Nenda BMH,mitungi ya oksijeni ni mingi kuliko ilivyokua mwanzo.
Sijajua ni kwanini.
Aliona mbali sana aliyesema "fumbo mfumbie mjinga!"Kama viongozi wetu walitumia kikombe cha babu ambacho hakikuwa na kipimo chochote cha kisayansi, wanatoa wapi nguvu ya kupinga dawa ya kimaabara?
Si unaona walikinywa akiwemo Magufuli na wako hai na ni maraisi na mawaziri mfano Lukuvi ? Wewe ambaye hukunywa uko hoi unapigika kimaisha
Tumekua tukiona status za misiba hata kabla ya hili tukio unadhan utaratibu wa status utakoma kisa tu kuna issue ya covid-20Mitaani vilio kila mahali. Ukiingia status za whatsapp huwezi kosa marafiki 2/3 wenye msiba.
Leo humu jf jerrybanks kafiwa na baba, baba mkubwa na mjomba kwa wakati mmoja.
Juzi nipo hospitali nikakutana na jamaa mmoja hapa Dar kamsafirisha dada yake toka Tanga aje atibiwe, kule Tanga walishazika ndugu zao 3 wa baba mmoja mama mmoja ndani ya wiki 1.
This is public irresponsibility and masaccre kwa sirikali iliyopewa jukumu la kuhakikisha usalama wa raia wake lakini wao wanachukulia for granted huu mlipuko.
Ni kweli sisi sote hatutaki chanjo ya wazungu, lakini kwa nini sirikali haichukui japo zile basic precautions ili angalau kupunguza maambukizi?
Uhusiano wa bunge na mitungi ya oksijeni kuisha na kuweka mingine mingi kuliko ilivyozoeleka,uko wapi?Kwani bunge wamemaliza?
Atalaumiwa sana dobi Ila kaniki ni rangi yake.Africa CDC ni tawi la Anerican CDC kazi yake distribution of American disease vacccines and drugs kazi ambayo inafanywa na American CDC kule marekani
Uko kwenye idadi ya mitungi!Uhusiano wa bunge na mitungi ya oksijeni kuisha na kuweka mingine mingi kuliko ilivyozoeleka,uko wapi?
Africa CDC ni tawi la Anerican CDC kazi yake distribution of American disease vacccines and drugs kazi ambayo inafanywa na American CDC kule marekani
aya bhana.Uko kwenye idadi ya mitungi!
Umewahi kufika mipakani Namanga,Sirari,Rombo na wote kati ya Tanga na Kenya?Tanzania inaliweka bara la Africa hatarini? Huu ndio ukoloni tunaojaribu kuukataa. Yaani Africa CDC ni zao la ubeberu wa Marekani kupitia American CDC maana wamarekani katika network yake ya kukoloni dunia na kulinda/kutega maslahi ya Marekani na washirika wake imeinstall kibaraka chake inachokiita Centre for Disiase Control in Afrika.
Kwa namna waAfrika wasivyotembeleana huwezi kusingizia eti Tanzania inaiweka Afrika yote hatarini. Waafrika wengi wanazuru Ulaya na Marekani kuliko wanavyozuru miongoni mwao. So Africa CDC waseme tu ukweli kwamba wametumwa na maboss wao American CDC kwa malengo wanayoyajua wao.
Sijui kama unasema kweli, lakini kama ni kweli, basi akili zitaanza taratibu kutuingia vichwani.Mitaani vilio kila mahali. Ukiingia status za whatsapp huwezi kosa marafiki 2/3 wenye msiba.
Leo humu jf jerrybanks kafiwa na baba, baba mkubwa na mjomba kwa wakati mmoja.
Juzi nipo hospitali nikakutana na jamaa mmoja hapa Dar kamsafirisha dada yake toka Tanga aje atibiwe, kule Tanga walishazika ndugu zao 3 wa baba mmoja mama mmoja ndani ya wiki 1.
This is public irresponsibility and masaccre kwa sirikali iliyopewa jukumu la kuhakikisha usalama wa raia wake lakini wao wanachukulia for granted huu mlipuko.
Ni kweli sisi sote hatutaki chanjo ya wazungu, lakini kwa nini sirikali haichukui japo zile basic precautions ili angalau kupunguza maambukizi?
Sijui hii uliitoa wapi, na kwa nini umeiweka hapa kuwasemea wengine!Ni kweli sisi sote hatutaki chanjo ya wazungu
Muhimbili kwenye madaktari bingwa mbona kuna hadi mortuary mbona watu hufa kibao Babu hakuwa na mortuary hakuna mtu alifia kwake hata awe alipelekwa critical vipi wote walifia kwao kwa kukiukaa masharti sio kwake tofauti na hospitali za muhimbili za ulaya au marekani ambazo zina mortuary na watu kibao wanafia mihospitalini kwaoKwahiyo hicho kikombe walikunywa hao washirikina wawili tu? Kwa taarifa yako ile ilikuwa aibu ya nchi kwa watu waliofia kule, au waliokufa baada ya ule utapeli. Na kama kinatibu mbona watu hawaendi tena?
Muhimbili kwenye madaktari bingwa mbona kuna hadi mortuary mbona watu hufa kibao Babu hakuwa na mortuary hakuna mtu alifia kwake hata awe alipelekwa critical vipi wote walifia kwao kwa kukiukaa masharti sio kwake tofauti na hospitali za muhimbili za ulaya au marekani ambazo zina mortuary na watu kibao wanafia mihospitalini kwao
Kwani Mimi mzee wa kikombe cha babu ni shujaa anayetakiwa kupewa PhD in medicine sababu mamilioni ya wagonjwa waliopelekwa kwake wengi wakiwa hoi hakuna aliyefia mikononi mwake au eneo lake la tiba. ANATAKIWA AWEKWE KITABIU CHA GUINESS BOOK OF RECORDS
Sijui hii uliitoa wapi, na kwa nini umeiweka hapa kuwasemea wengine!
Na huku msikotoa "takwimu", mbona ugonjwa hakuna?Mbona huko wanakotoa takwimu ugonjwa ndio unaongezeka?
Hili ndilo jibu la maneno uliyotumia "...ni kweli sisi sote hatutaki chanjo ya wazungu"?olor=teal]Mkuu chanjo siyo mandatory kuipata, hata huko ulaya na marekani kuna wanaokataa kuchanjwa. Marekani na Ulaya huwa wanazingatia sana maamuzi ya watu kwenye choice ya matibabau yao.