Haya majibu ndio yananipa shida, unaweza kuwa na mawazo mema ila hujui kujenga hoja ikaeleweka. Sina nia ya kubishana ila kuwa na mtazamo ulio nao, ni hatari hata kwako mwenyewe.Yako wapi "mawazo" yako nayo tuyapime!
Inawezekana mawazo yako yakawa hayana hata "mwanzo wa safari" kabisa!
Kati ya sisi na wao nani corona inamfyeka sana. Waache uwongo. Corona inawafyeka sana wazungu na wamerikana pamoja na lockdown zao, barakoa, social distancing na chanjo kibao. Hata mchina hafwekwi tena na corona.Mitaani vilio kila mahali. Ukiingia status za whatsapp huwezi kosa marafiki 2/3 wenye msiba.
Leo humu jf jerrybanks kafiwa na baba, baba mkubwa na mjomba kwa wakati mmoja.
Juzi nipo hospitali nikakutana na jamaa mmoja hapa Dar kamsafirisha dada yake toka Tanga aje atibiwe, kule Tanga walishazika ndugu zao 3 wa baba mmoja mama mmoja ndani ya wiki 1.
This is public irresponsibility and masaccre kwa sirikali iliyopewa jukumu la kuhakikisha usalama wa raia wake lakini wao wanachukulia for granted huu mlipuko.
Ni kweli sisi sote hatutaki chanjo ya wazungu, lakini kwa nini sirikali haichukui japo zile basic precautions ili angalau kupunguza maambukizi?
Ukihitaji uhakika kamwulize kabudi.CDC ndio kijidudu gani tena hiki! Kiambieni kikakojoe kilale! Kama kinataka data kiombe za malaria tutampatia!
Eti tutaliweka hatarini bara la africa mfyuuuu! Kwani Tz ndio imeleta corona? Ebo!
ulitaka chanzo kiwe tbc, channel ten au gazeti uhuru.Nilopoona DW ndio chanzo cha habari nikaipuuza!
Chombo chochote makini sio cha wahuni!ulitaka chanzo kiwe tbc, channel ten au gazeti uhuru.
ulitaka chanzo kiwe tbc, channel ten au gazeti uhuru.Nilopoona DW ndio chanzo cha habari nikaipuuza!
Shikamoo!ulitaka chanzo kiwe tbc, channel ten au gazeti uhuru.
😆😆😆😆😆😆. Watu wangu wanaang'amia na kuteketea kwa kukosa maarifa. Kapuku mimi naishia hapa.Halafu unataka watu wamwone kiongozi wao (Rais) kuwa mtu wasiyeweza kumwamini asemacho yeye? Wamwone kuwa ni 'mwongo', wakuamini wewe kapuku, usiyekuwa na mbele wala nyuma?
Iran wana chanjo nzuri sana,,ya kuchoma na ya kunusa tu..hebu waachane na sisi, watuthibitishie ni chanjo ipi ipo salama kuliko zote.
Poleni sana Mkuu.Kwa kutotoa uzito unaostahili, sipendi kutumia lugha hii, lakini hatuna namna, lazima tuseme:
RAIS MAGUFULI, KAMA ULICHAGULIWA AU ULIIBA KURA, HILO KWA SASA SIYO HOJA. CHA MUHIMU NI KUWA UNA WAJIBU WA KUWALINDA WATANZANIA BADALA YA KUWAANGAMIZA.
KWA KAULI ZAKO ZA UWONGO KWAMBA TANZANIA HAKUNA CORONA, NA HIVYO KUWAFANYA WATU KUAMINI KAULI ZAKO, NA KUACHA KUCHUKUA TAHADHARI, HAKIKA WEWE NI KIONGOZI MUUAJI.
Wale ambao maisha yao yangeweza kuokolewa kwa tahadhari, lakini wamekufa kutokana na uongozi wako mbaya, laana ikawr juu yako na uzao wako maana huna huruma wala chembe ya utu.
Nayaandika haya tukiwa tunasubiri mwili wa marehemu, mama wa rafiki yangu. Mimi nikiwa nimepoteza ndugu yangu hivi karibuni akiwa na dalili za kushambuliwa na covid 19, rafiki yangu, huu ni msiba wa 5 ndani ya wiki 3, wote wakiwa na dalili za kuathiriwa na Covid 19.
Ninyi mnaomshabikia Rais wakati akitenda uovu, zioneeni huruma familia zinazoomboleza kila siku kutokana na vifo vinavyosababishwa na corona.
Wakati wa majanga kama haya, we need mentally and spiritually strong leaders not muscular leadership.
Hizo takwimu tumtolee nani na kwa nini?
Kujua uelekeo wa ugonjwa kote duniani?"Tumtolee nani" labda tuanzie hapo mkuu. Ulikuwa ukimaanisha were na nani?
"Kwa nini" kujua uelekeo wa ugonjwa ilivyo note duniani. Kama Hali yetu ni njema zaidi basic sana kujifunza.
Kama Hali yetu inazidi kuwa mbaya zaidi lions ni kwa jinsi tushirikiane na jamii ya kimataifa kuona maisha ya wapendwa yanalindwa kwa ubora zaidi.
Kujua uelekeo wa ugonjwa kote duniani?
Yapo magonjwa na mengine ambayo hali yetu ni mbaya zaidi na watu wetu wanakufa zaidi kuliko. Malaria ni mojawapo, na kama kuna jumuia ya mataifa iliwahi kukusaidia, ilikusaidia nyavu za mbu na wanaendelea kutengeneza dawa mpya za malaria ili nchi yako ibaki kuwa soko la kudumu la madawa ya malaria. Ila kwao kulishawahi kuwapo na malaria ila wao waliifuta kabisa. Kama wangekuwa na lengo la kukusaidia wangekusaidia ili uimalize kabisa hiyo malaria.
Mbona hamstuki tu?
Mkuu zimmerman ,kuna mambo ambayo kama huna uhakika nayo,bora ukae kimya.Kwa nini unitukane ndugu yangu? Nenda kaangalie centre for disease control ya Marekani majukumu yao na nini wanachofanya halafu angalia na majukumu ya Africa cdc. Africa CDC kazi yao kubwa ni kupigia debe vaccines na drugs za waulaya na wamerakani tu. Imekaa kama kitasisi cha PR (public relation) kwa maboss wao huko Marekani. No, huo ukoloni hatutaki.