Corona: Afrika CDC yaipa onyo Serikali ya Tanzania

Wacha kuwasilisha ujinga wako! Chapisha hilo onyo lililotolewa tulijadili!
Mbona takwimu za magonjwa yenye high mortality rate kuliko Covid -19 hawashawishi watu wapimwe, hawaulizii idadi ya watu wanaokufa kila siku, wala wanaoambukizwa kila siku?
 
Ndio hapo sasa
 
Pori jipya nyani wale wale:

Uvaaji wa barakoa na social distancing ni muhimu kwenye shughuli nzima ya mazishi ni muhimu kuzingatiwa.

Tujaribu pori jipya labda nyani hawa wanaweza kuwa tofauti.
 
Kufa ni jadi ya mwanadamu,wewe mwenyewe ni maiti mtarajia.kwa hivyo sio ajabu zaidi πŸ‘‰ πŸ–

Mawazo ya kijima kabisa. Heri ya mawazo ya nguruwe kabisa.

Umesikia ewe nguruwe pori?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…