Corona: Ali kiba kujitolea PPE 200

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
Joined
May 3, 2020
Posts
2,415
Reaction score
3,924
Staa wa hit song ya "Dodo," Ali Kiba, amesema atatoa msaada wa mavazi ya wahudumu wa afya kujikinga PPE 200 ili yakawasaidie kwenye vita hii dhidi ya Virusi cha Corona

Alikiba ameyasema hayo wakati akihojiwa na kipindi cha LEO TENA cloudsFM,
 
Ni alikiba na samata na asas kupitia samakiba foundation.
Ufunguage link wewe mtoa post
 
Katoa set 200 au aina gan hasa ya PPEs ?
Mungu ambariki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…