Corona: Baada ya kushinda vita hakuna hata wa kutupongeza?

huko kwa kina boris ugonjwa huu wanautumia kisiasa zaidi kwaajili ya manufaa yao ya vita ya kiuchumi.... hayo mengine mnayo aminishwa ni chai tu...
 
Tulia wewe. Fanya kazi mambo,ya kutishana tishana tz hatutaki. Mbona hata malaria still inaua watu kibao Africa na visa vya maambukizi yake havitangazwi.
Excessively poor reasoning maskini. Hiyo ni hoja unaweza kuweka mbele za watu ukaonekana una akili kweli??!! Kwamba kuna magonjwa mengine pia yanayoua hivyo huna haja ya kuweka priority kwa pandemic hii mpya?!!

Aisee....kwa mawazo ya namna hii hatuko salama Wallah!!!!
 
Jamaa anataka lockdown,kila siku anapiga ramli.
 
aliyesema kwamba aliyesema kwamba tusiweke priority nani... mbona wataka kunilisha maneno ambayo sijayatamka... nilikuwa nadhani uko timamu upstairs kumbe ni tofauti najinsi nilivyokuwa na waza...

kitendo cha wizara husika kuendelea kutoa. elimu ya afya kuhusu gonjwa la corona hiyo sio sehemu ya kuonyesha kipaumbele? Au neno kipaumbele kwako wewe lina mantiki ipi?
 
Jamaa anataka lockdown,kila siku anapiga ramli.
😃😃😃lockdown! !my foot. .waweza uwezo wakuipatia mahitaji vyema family yake hana...so ameshajiuliza kuwa endapo akiwekwa kizuizini nani atakaye walisha... je serikali yake ina budget toshelezi ya kuwahudumia watu ml_60 bila watu hao kufanya kazi ndani ya miezi 3....

hizo nchi zilizoendelea zenyewe huo ujinga wa kuwekana lockdown zimeshaanza kuacha baada ya kuona kuwa lockdown haina tija yoyote kwao
 
Yaani thread zake za Corona zina maana ile ile,atazunguka weee ila jamaa anachotaka lockdown.

Uzuri tumepewa options kama binafsi bado una ona hali bado kaa ndani,ila kuna wengine wasio kuwa na uhakika wa maisha yao hata kula yao ya tabu waache wakawa tafutie chakula familia zao,zisife na njaa.

Anawasifia Kenya kutoa takwimu,lkn hajiulizi kwa nini Kenya hawasemi takwimu za wanao kufa kwa njaa,kanga'ania Corona Corona.
 
imagine! ! itakuwa ametumwa huyu
 
K
Kosa kubwa tulilofanya watanzania ni kutokutoa takwimu sahihi za corona, hivyo chochote atakachosema mtu iwe kiongozi au mtaalamu hakitaaminika. Tunawezaje kusema tumeshinda corona bila kuonesha takwimu zozote?
 

Wewe si useme za wanaokufa njaa?

Za Corona zinakukera sana? Una maslahi gani kuona hatuandiki kuhusu Corona?

Wapi waliposifiwa wakenya? Jikite kwenye mada vinginevyo unakuwa kama kuku tu anayeonyesha nyeti zake kwa kupulizwa na upepo.
 
huko kwa kina boris ugonjwa huu wanautumia kisiasa zaidi kwaajili ya manufaa yao ya vita ya kiuchumi.... hayo mengine mnayo aminishwa ni chai tu...

Ili quote mapema CCM from nowhere.

Hapa tena ume quote kina Boris out of context. Dalili ya kurukia treni kwa mbele.

Kuelewa na kusoma ni vitu viwili tofauti mkuu.
 
Ili quote mapema CCM from nowhere.

Hapa tena ume quote kina Boris out of context. Dalili ya kurukia treni kwa mbele.

Kuelewa na kusoma ni vitu viwili tofauti mkuu.
Huna hoja Bali ni viroja ...
 
Ndoto za alinacha. Jikite kwenye mada vinginevyo mengine unayoandika ni kama kelele tu.
Sioni cha kujikita kwani mada zako ni zile zile za John na Yohana,Side na Saidi,Yusuph na Joseph unazunguka lkn unarudi pale pale,we endelea kujilockdown na kupiga ramli.
 
Wewe si useme za wanaokufa njaa?

Za Corona zinakukera sana? Una maslahi gani kuona hatuandiki kuhusu Corona?

Wapi waliposifiwa wakenya? Jikite kwenye mada vinginevyo unakuwa kama kuku tu anayeonyesha nyeti zake kwa kupulizwa na upepo.

Takwimu kwangu hazina maana.We endelea kupiga ramli.
 
Sioni cha kujikita kwani mada zako ni zile zile za John na Yohana,Side na Saidi,Yusuph na Joseph unazunguka lkn unarudi pale pale,we endelea kujilockdown na kupiga ramli.

Unaandika kwa uzi upi mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…