Corona: Baada ya kushinda vita hakuna hata wa kutupongeza?

Corona: Baada ya kushinda vita hakuna hata wa kutupongeza?

Hata Pascal Mayalla hajaweka bango la "kwa maslahi mapana ya nchi."

Ama hii haihusu..

Huyo yasemekana kuna ka ulaji fulani anapata kwenye mada zenye maslahi na mabwana wale.

Amejipanga vilivyo kukaa mbali na chochote kinachoweza kukitia kitumbua chake mchanga.
 
Back
Top Bottom