B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 34,775 Reaction score 46,063 May 29, 2020 Thread starter #61 wazunguwawili said: Hata Pascal Mayalla hajaweka bango la "kwa maslahi mapana ya nchi." Ama hii haihusu.. Click to expand... Huyo yasemekana kuna ka ulaji fulani anapata kwenye mada zenye maslahi na mabwana wale. Amejipanga vilivyo kukaa mbali na chochote kinachoweza kukitia kitumbua chake mchanga.
wazunguwawili said: Hata Pascal Mayalla hajaweka bango la "kwa maslahi mapana ya nchi." Ama hii haihusu.. Click to expand... Huyo yasemekana kuna ka ulaji fulani anapata kwenye mada zenye maslahi na mabwana wale. Amejipanga vilivyo kukaa mbali na chochote kinachoweza kukitia kitumbua chake mchanga.