#COVID19 Corona: Bila Barakoa Dar, Hupandi hata Daladala

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Taratibu tunasonga na uelekeo huu si mbaya.

Bila barakoa tusionane kwenye usafiri wa umma yaani mabasi zikiwamo dala dala na ferry. Tusionane pia sokoni wala popote penye mikusanyiko.

Hili si ombi bali rasmi ni lazima.

-----
My take:

Ugonjwa huu ni hatari. Hatua hizi ni muafaka pole pole tutaelewana tu.
 
Basi mleta uzi kesho asubuhi tupigie picha tuone utekelezaji wake mbagala-rangitatu.
 
Dah Hesabu ishashuka tena kwa mata nyingine tena... Daladala tunateseka sana tumetoka mwezi wa ukaguzi wa ajabu ajabu wametupotezea sana muda na hesabu sasa tunaingia kwenye level seat... sijui niyapaki tu.. Gari kubwa leval seat kutoka kawe hadi mbagala italipaje yaani hesabu unaipataje kwa mfano Mafuta bei vipuri bei nauli ile ile miaka yote ? ndio maana mzee mpili alisema kha!
 
Vipi kuhusu wasafiri wa mabasi ná treni waendao mikoani Mkuu!? Hawa hawatakiwi kuvaa barakoa?
 
Naunga mkono hoja. Hawa wasukuma wabishi wabishi waliomezeshwa matango na jamaa yule tutawamudu tu maana ubavu hawana!
 
Vipi kuhusu wasafiri wa mabasi ná treni waendao mikoani Mkuu!? Hawa hawatakiwi kuvaa barakoa?

Mambo huanzia Dar lango la nchi. Haieleweki pia mwenge uko wapi na unaendelea je.

Tunatega masikio.
 
Kama nawaona vile wazee wa ngwasuma
Wakatavyotembeza mkongoto +virungu kwa
Watu
Bora nimejirudiaaaa chaka gairo 😂😂😂

Ova
 
Dah Hesabu ishashuka tena kwa mata nyingine tena... Daladala tunateseka sana tumetoka mwezi wa ukaguzi wa ajabu ajabu wametupotezea sana muda na hesabu sasa tunaingia kwenye level seat... sijui niyapaki tu.. Gari kubwa leval seat kutoka kawe hadi mbagala italipaje yaani hesabu unaipataje kwa mfano Mafuta bei vipuri bei nauli ile ile miaka yote ? ndio maana mzee mpili alisema kha!

Bado kodi na tozo mbalimbali juu ndani ya janga hili:

IMG_20210726_014752_451.jpg

Dah Hesabu ishashuka tena kwa mata nyingine tena... Daladala tunateseka sana tumetoka mwezi wa ukaguzi wa ajabu ajabu wametupotezea sana muda na hesabu sasa tunaingia kwenye level seat... sijui niyapaki tu.. Gari kubwa leval seat kutoka kawe hadi mbagala italipaje yaani hesabu unaipataje kwa mfano Mafuta bei vipuri bei nauli ile ile miaka yote ? ndio maana mzee mpili alisema kha!
Hesabu ya gari Kwa siku n Shi ngapi?
 
Waweke tozo (fine) kwa wale wanaopatikana kutokuvaa barakoa. Itasaidia kuongeza kipato kwa Serikali

Ukisema itawasaidia kuvaa barakoa ili wajikinge na maambukizi ingependeza zaidi.
 
Yaani hii nchi ya kipumbavu sana yaani mashindano ya olimpiki tumepeleka wanamichezo hawazidi hata kumi..kudadeki yaan vitu rahisi kama hivyo navyo tunashindwa,nadhani hii nchi ni ya hovyo kuliko zote hapa duniani
 
Taratibu tunasonga na uelekeo huu si mbaya.

View attachment 1869387

Bila barakoa tusionane kwenye usafiri wa umma yaani mabasi zikiwamo dala dala na ferry. Tusionane pia sokoni wala popote penye mikusanyiko.

Hili si ombi bali rasmi ni lazima.

-----
My take:

Ugonjwa huu ni hatari. Hatua hizi ni muafaka pole pole tutaelewana tu.
Haaa mbona mimi nimepanda hata, 0fisini nimetinga bila Barakoa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji3]
 
Wewe umepanda na kutinga ofisini bila barakoa, kesho 😂😂😂😂?
 
Back
Top Bottom