Corona: Bila kupeana makavu hatutoboi, kwako mzee baba

osho. Tuate pKwa kuwa njia zote za ulaji zishajifungo basi nadhani weye umeamua kubahatisha angalao utumie tume hii ya 4 ya corona angalao upate posho. Hakuna tume wala mtume. Hela iliyokuja ni ya kumalizia sgr

Hakuna issue ya posho hapo. Umeona namba ya simu mahali?

Tuna ugonjwa ambayo handling yake hadi sasa iko fyongo. Ingekuwa sawa ugonjwa usingeingia. Ingekuwa sawa ugonjwa usingesambaa.

Haya yako wazi. We need a reboot. A new way forward with totally new perspective away from nyungu and away from spiritual healing.

Tunaweza hata kujitoa kimasomaso washauri wetu wa awali walitupotosha.

Tunataka maisha. Hatutaki Corona.
 
Kwako Rais wetu mpendwa, jembe letu la ukweli, mzee baba, Dr. Magufuli.

Protokali yote imezingatiwa.

Mengi yameandikwa, shauri mbalimbali zimetolewa tangia kabla sana ya ugonjwa huu kuingia nchini takribani miezi miwili sasa.

Ugonjwa uliopaswa kuzuiliwa kuingia, uliingia nchini. Pia ugonjwa uliopaswa kudhibitiwa usisambae haujadhibitiwa na unaendelea kusambaa.

Haitusaidii kuendelea kuoneana aibu. Haitusaidii kuendelea kuficha maradhi. Wala haitusaidii kuacha kuelezana ukweli wazi wazi kwa maana msema kweli ni mpenzi wa Mungu.

Hadi tulipofikia naamini tunakubaliana sote kuwa hatuna jipya tena tokea kwa watendaji wetu waliopewa jukumu la kuudhibiti na hata kuutokomeza kabisa ugonjwa huu kutoka hapa nchini.

Mengine yote ni historia au yatokanayo na historia hiyo.

Mzee baba, tunakupenda sana na ni nia yetu sisi tunaoamini kuwa tu wengi, uendelee kutuongoza ikibidi hata baada ya 2025. Ila mheshimiwa, kwa sasa tunakuomba wewe mwenyewe ulione hili pamoja nasi kwa dhati kabisa:

Mzee baba, tunakuomba tujadiliane mbinu mpya za kupigana katika vita hivi mapema kabla hatujashindwa kabisa.

Tunakuomba mzee baba, iundwe tume nyingine yenye madaraka kamili ya kuongoza vita hii kama itakavyoona yenyewe kuwa inafaa. Ufanisi wake upimwe kwa vigezo vilivyo wazi.

Ni jambo la heri tu mkuu kuwa, wapo wana wa nchi hii wengi tu na wenye uzalendo uliotukuka, wanaoweza kukusaidia kuondosha gharika hili na kulitokomeza kabisa.

Mzee baba, tunayo nafasi ya kurejea katika maisha yetu ya kawaida (na mashule hata yakafunguliwa) ndani ya siku 45 tukiwa salama.

Kwa nini tusijipe nafasi katika kufanikisha jambo hili lenye tija kuu kama hili kwa nchi yetu?

Ni wazi kuwa, kuna maisha mengi yatakayookolewa kwa jitihada kama hizi, ambapo itakuwa ni thawabu kubwa kwako hapa duniani na hata huko mbinguni.

Eeeh mzee baba, hebu yaone haya kwa moyo mweupe, ukayajaribu.

Kwa hakika hautajilaumu.

Ninawasilisha.
Akina Museveni wameshindwa, SADC na Ramaphosa nao wamechoka. Mimi nafikiri mpaka asikie jeshi limechoka ndio ataamka kule alipolala. Au wananchi waingie mtaani?
 
Tuongeze na kuvaa face shield
View attachment 1448054
Cc. FRANCIS DA DON

Tunapoyazingatia yote bila kuacha hata moja lazima kelele tuendelee kupiga.

Hizi zetu ni zile za kidole kimoja.

Mkuu hii vita si ya jeshi la mtu mmoja. Ni vita ya nchi kwa nchi. Kwenye vita ya namna hiyo kidole kimoja hakivunji chawa!

Ingekuwa ukimwi sawa. Lakini siyo dudu hili.
 
Akina Museveni wameshindwa, SADC na Ramaphosa nao wamechoka. Mimi nafikiri mpaka asikie jeshi limechoka ndio ataamka kule alipolala. Au wananchi waingie mtaani?

Mkuu nakusoma. Sisi hatupaswi kuchoka. Sisi kwenye hili ni waathirika wa moja kwa moja.

Tuendelee kupiga kelele hadi dakika ya mwisho.
 
Tuna ugonjwa ambayo handling yake hadi sasa iko fyongo. Ingekuwa sawa ugonjwa usingeingia. Ingekuwa sawa ugonjwa usingesambaa.
Kweli nimeanza kuamini kuwa kuna wenzetu mmeamua kuwa viwavi wa mabeberu. Ati ugonjwa usingaliingia, ugonjwa usingali sambaa. Kwa kuto kuwa lockdown wanyonge wasio na hata unga wa uji ili wajifilie humo ndani ya lock? ? Mabeberu wamewanyonya akili. Haya tupe basi way forward m wala si lawama zisizo na mkia
 
Kwako Rais wetu mpendwa, jembe letu la ukweli, mzee baba, Dr. Magufuli.

Protokali yote imezingatiwa.

Mengi yameandikwa, shauri mbalimbali zimetolewa tangia kabla sana ya ugonjwa huu kuingia nchini takribani miezi miwili sasa.

Ugonjwa uliopaswa kuzuiliwa kuingia, uliingia nchini. Pia ugonjwa uliopaswa kudhibitiwa usisambae haujadhibitiwa na unaendelea kusambaa.

Haitusaidii kuendelea kuoneana aibu. Haitusaidii kuendelea kuficha maradhi. Wala haitusaidii kuacha kuelezana ukweli wazi wazi kwa maana msema kweli ni mpenzi wa Mungu.

Hadi tulipofikia naamini tunakubaliana sote kuwa hatuna jipya tena tokea kwa watendaji wetu waliopewa jukumu la kuudhibiti na hata kuutokomeza kabisa ugonjwa huu kutoka hapa nchini.

Mengine yote ni historia au yatokanayo na historia hiyo.

Mzee baba, tunakupenda sana na ni nia yetu sisi tunaoamini kuwa tu wengi, uendelee kutuongoza ikibidi hata baada ya 2025. Ila mheshimiwa, kwa sasa tunakuomba wewe mwenyewe ulione hili pamoja nasi kwa dhati kabisa:

Mzee baba, tunakuomba tujadiliane mbinu mpya za kupigana katika vita hivi mapema kabla hatujashindwa kabisa.

Tunakuomba mzee baba, iundwe tume nyingine yenye madaraka kamili ya kuongoza vita hii kama itakavyoona yenyewe kuwa inafaa. Ufanisi wake upimwe kwa vigezo vilivyo wazi.

Ni jambo la heri tu mkuu kuwa, wapo wana wa nchi hii wengi tu na wenye uzalendo uliotukuka, wanaoweza kukusaidia kuondosha gharika hili na kulitokomeza kabisa.

Mzee baba, tunayo nafasi ya kurejea katika maisha yetu ya kawaida (na mashule hata yakafunguliwa) ndani ya siku 45 tukiwa salama.

Kwa nini tusijipe nafasi katika kufanikisha jambo hili lenye tija kuu kama hili kwa nchi yetu?

Ni wazi kuwa, kuna maisha mengi yatakayookolewa kwa jitihada kama hizi, ambapo itakuwa ni thawabu kubwa kwako hapa duniani na hata huko mbinguni.

Eeeh mzee baba, hebu yaone haya kwa moyo mweupe, ukayajaribu.

Kwa hakika hautajilaumu.

Ninawasilisha.
Tatizo mzee baba anapenda sana kuchukua fedha za michango!!

Ushauri wangu tufanye kama Zanzibar walivyofanya tuache ubahili....Serikali itengeneze Barakoa na igawe kwa wananchi wake na iwe lazima mtu avae barakoa akiwa kwenye mizunguko yake,pia wagawe sanitizer kwa wananchi wake watembee nazo iwe mbadala wa kunawa mikono kama ukiwe kwenye sehemu ambazo ni ngumu kunawa na accidentally umeshika sehemu hivyo "SANTAIZA" itasaidia.

Waweke Simtank kubwa zile za Litre 10,000 kwenye mikusanyiko mikubwa ya watu ili kila anayeingia anawe mikono ehemu zenyewe ni kwenye masoko ya mboga mboga ,samaki kama ferry etc na watu wenye maduka lazima waweke maji ya kunawa kwa wateja wao.

Wahamasishe wananchi watumie vitu vya asili ambavyo vinasaidia kuboost kinga ya mwili kama wataalamu wa afya wanavyosema,vitu kama machungwa,mboga mboga,matumizi ya chai ya tangawizi,maji ya moto yenye limao+asali etc!!

Serikali iache ubahili iajiri madr na manesi hata kwa temporary contract na wawape packages nzuri na PPE za kutosha na pia wajenge au watenge maeneo kwa ajiri ya kuhudumia wagonjwa wa covid19.

Serikali ifanue fumigazation sehemu zenye mikusanyiko ya watu,kwenye mwendokasi,madarabara kila safari,watumie liquid ambayo inayoua pia virus na sio chlorine ambayo inaua mende kama mkemia alivyoshauri.

Kwenye mipaka kuwe na wataalamu na vituo vya kupimia watu covid ili biashara ziendelee kufanyika kama kawaida.

Narudia TENA serikali iache UBAHILI itumie fedha ili kunusuru UCHUMI.
 
Kweli nimeanza kuamini kuwa kuna wenzetu mmeamua kuwa viwavi wa mabeberu. Ati ugonjwa usingaliingia, ugonjwa usingali sambaa. Kwa kuto kuwa lockdown wanyonge wasio na hata unga wa uji ili wajifilie humo ndani ya lock? ? Mabeberu wamewanyonya akili. Haya tupe basi way forward m wala si lawama zisizo na mkia

Ugonjwa ungeingia vipi kama tungekuwa na udhibiti wa wageni kuingia nchini? Ungesambaa vipi kama tungekuwa na mipango madhubuti kuzuia maambukizi?

Kuuona ukweli huo ni kutumiwa na mabeberu? Mbona mabeberu hao watakuwa wema kuliko nyie mliotuingizia ugonjwa na sasa mnaupalilia usambae?

Way forward, hukuona hapa?

"Tunakuomba mzee baba, iundwe tume nyingine yenye madaraka kamili ya kuongoza vita hii kama itakavyoona yenyewe kuwa inafaa. Ufanisi wake upimwe kwa vigezo vilivyo wazi."

Hivi huwa mnarogwa nini kuwa misukule?
 
Mipaka ipi unayopendekeza biashara kuendelea wakati wadau wameshatupiga munda?
 
Kumbe ni magu alikuwepo duniani kote akawafungulia watu kuusambaza? Muogopeni huyu Mungu jamani. Mnyonge na anyongwe ila haki mpeni. Semeni mnachotaka wazi sio kumungunya maneno. Sema Tutakuondoa tu madarakani kwa kuwa umegoma kututii malengo yetu ya kuiangamiza dunia
 
Ukisikia taa imezima ukimbi wa disco lakini umeme nje unawaka jengo hilo hilo wee toa taa yako testi kwenye holder na kidole
 
Mipaka ipi unayopendekeza biashara kuendelea wakati wadau wameshatupiga munda?
Wametupiga PINI coz hatupo serious na Covid19 ndio maanda madereva wetu kila wakipimwa wanakutwa na korona ila tungekuwa serious hata hao madereva wasingefanya safari maana kabla ya safari ilitakiwa wapimwe kwetu na wapate clearance ya safari maana madereva wa TZ wametuchafua sana kimataifa kila wakipimwa IMOOOOOOOOO.
 
Nadhani mkuu kama ilivyo kwenye mada:

"Tunakuomba mzee baba, iundwe tume nyingine yenye madaraka kamili ya kuongoza vita hii kama itakavyoona yenyewe kuwa inafaa. Ufanisi wake upimwe kwa vigezo vilivyo wazi."
 
Kweli nimeanza kuamini kuwa kuna wenzetu mmeamua kuwa viwavi wa mabeberu. Ati ugonjwa usingaliingia, ugonjwa usingali sambaa. Kwa kuto kuwa lockdown wanyonge wasio na hata unga wa uji ili wajifilie humo ndani ya lock? ? Mabeberu wamewanyonya akili. Haya tupe basi way forward m wala si lawama zisizo na mkia
Haya mlikataa yote hayo. Leo mitaani hakuelezeki nini sasa ?! . Ugonjwa huu ukimpata family members, jirani au rafiki ndiyo utaujua. Naona bado mnacheza

Odhis *
 
Kumbe ni magu alikuwepo duniani kote akawafungulia watu kuusambaza? Muogopeni huyu Mungu jamani. Mnyonge na anyongwe ila haki mpeni. Semeni mnachotaka wazi sio kumungunya maneno. Sema Tutakuondoa tu madarakani kwa kuwa umegoma kututii malengo yetu ya kuiangamiza dunia

Pameandikwa wazi kabisa hapo uliponukuu:

"Ugonjwa ungeingia vipi kama tungekuwa na udhibiti wa wageni kuingia nchini? Ungesambaa vipi kama tungekuwa na mipango madhubuti kuzuia maambukizi?"

Neno "nchini" uliliona?

Au ukifuzu kuwa msukule na kusoma unakuwa unasema unavyotaka kusoma vingine unaviruka ruka tu kwa raha zako?
 
Haya mlikataa yote hayo. Leo mitaani hakuelezeki nini sasa ?! . Ugonjwa huu ukimpata family members, jirani au rafiki ndiyo utaujua. Naona bado mnacheza

Odhis *
Weka wazi mdau. Ni mtaa gani huo au ni familia gani hiyo? ? Ya kule magogoni au? ? Mwaga hadharani
 
Pameandikwa wazi kabisa hapo uliponukuu:

"Ugonjwa ungeingia vipi kama tungekuwa na udhibiti wa wageni kuingia nchini? Ungesambaa vipi kama tungekuwa na mipango madhubuti kuzuia maambukizi?"

Neno "nchini" uliliona?

Au ukifuzu kuwa msukule na kusoma unakuwa unasema unavyotaka kusoma vingine unaviruka ruka tu kwa raha zako?
Siruki chochote miye ila nakuona unavyo taka kuichapia hoja yako dhaifu sana. Ati angelifungia wageni kuja nchini. Kama ninakumbuka vyema nadhani mgonjwa wa kwanza alitokea ulaya akirudi nyumbani Tz. Je, tulikosea kumruhusu mwanamchi kuja nyumbani kwao? ? Kwako weye lockdown ni nini haswa? ? Naendelea kusema;
Tamka wazi kiu yako na nini way forwrd.
 
We should not submit to it. All avenues need to be exploited to defeat this bug.

Keeping it around is not an option!
Yeah it's not an option..but what else can we do. Don't forget the epidemic relapse in Wuhan. The fact is this_ the case is multifactorial,some important meassures are out of our reach

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siruki chochote miye ila nakuona unavyo taka kuichapia hoja yako dhaifu sana. Ati angelifungia wageni kuja nchini. Kama ninakumbuka vyema nadhani mgonjwa wa kwanza alitokea ulaya akirudi nyumbani Tz. Je, tulikosea kumruhusu mwanamchi kuja nyumbani kwao? ? Kwako weye lockdown ni nini haswa? ? Naendelea kusema;
Tamka wazi kiu yako na nini way forwrd.

Mkuu wageni bila kujali ni nani, quarantine 14 days iliwahusu. Walishauriwa hilo hawakuzingatia.

Hawawezi kukwepa uwajibikaji kwa mafanikio au mapungufu kwa hilo.

Kama wewe huoni hilo shauri yako endelea kupiga nyungu. Uko vizuri mkuu.
 
Yeah it's not an option..but what else can we do. Don't forget the epidemic relapse in Wuhan. The fact is this_ the case is multifactorial,some important meassures are out of our reach

Sent using Jamii Forums mobile app

We need a working council of war to conquer this pandemic. A council that should be empowered to act as it deems it fit.

The bottom line being the pandemic should go.

It should be a council of war, which should be result oriented also timely and openly evaluated.
 
Back
Top Bottom