M Maroony Senior Member Joined Nov 22, 2019 Posts 111 Reaction score 101 May 12, 2020 #41 Blac kid said: Kila ugonjwa ukitaka uundiwe tume tutakuwa na matume mangapi? Jifunzeni kuishi na corona kama tunavyoishi na malaria, corona will be there forever, kumbuka hata malaria inaua kila siku Click to expand... Kwahiyo unataka kusema tutaishi maisha yote kwa kuvaa barokoa na kutoka kwa kuvizia? Shule ndiyo basi tena eeh?
Blac kid said: Kila ugonjwa ukitaka uundiwe tume tutakuwa na matume mangapi? Jifunzeni kuishi na corona kama tunavyoishi na malaria, corona will be there forever, kumbuka hata malaria inaua kila siku Click to expand... Kwahiyo unataka kusema tutaishi maisha yote kwa kuvaa barokoa na kutoka kwa kuvizia? Shule ndiyo basi tena eeh?
B Blac kid JF-Expert Member Joined Apr 1, 2012 Posts 6,682 Reaction score 7,505 May 12, 2020 #42 Maroony said: Kwahiyo unataka kusema tutaishi maisha yote kwa kuvaa barokoa na kutoka kwa kuvizia? Shule ndiyo basi tena eeh? Click to expand... Barakoa asaiv tunavaa kidevuni na shule zitafunguliwa muda c mrefu kuhusu kunawa mikono ndo itakuwa utamaduni wetu kabisa
Maroony said: Kwahiyo unataka kusema tutaishi maisha yote kwa kuvaa barokoa na kutoka kwa kuvizia? Shule ndiyo basi tena eeh? Click to expand... Barakoa asaiv tunavaa kidevuni na shule zitafunguliwa muda c mrefu kuhusu kunawa mikono ndo itakuwa utamaduni wetu kabisa
F FUSO JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 36,507 Reaction score 45,129 May 13, 2020 #43 CCM walituingiza chaka.