Moja kwa moja kwenye mada. Itifaki yote imezingatiwa.
Nchi nyingi duniani zilipokea wagonjwa wa mwanzo wa Corona tokea Dubai. UAE wenyewe walikuwa na wameendelea kuwa wagumu kukubali kiwango cha maambukizi nchini mwao.
Dar tumekuwa kama Dubai tu kila anayetoka kwetu ana Corona. No wonder hata mbuzi na kondoo wetu hawawezi kukosa Corona. Hatimaye tumekuwa epicenter ya hilo dubwana.
Tunapowaunga mkono wabunge wetu shupavu hawa bila kujali vyama vyao:
"People are Dying, Give us the Actual COVID-19 Report" MP Dares Magufuli
ipo haja ya kukabiliana na merchant mwenyewe wa vifo vitokanavyo na ugonjwa huu.
Kwa hakika hawa wengine wanatetea matumbo yao tu. Mwenye lake jambo yuko vijijini kajituliza kikasuku.