Corona: EU Yafungua Milango kwa Wageni hali Inapotengamaa

Corona: EU Yafungua Milango kwa Wageni hali Inapotengamaa

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Hii ni habari njema kwamba kumbe palipo na jitihada kubwa, hali inaweza kutengamaa. Nani hakuyasikia ya Italy, Spain nk?


Ni wazi kuwa mpambano haukuwa bure, maisha yameokolewa na matumaini sasa yanasoma.

Mataifa mengine 11 wakiwamo Rwanda, rasmi sasa wanaweza kujivinjari back and forth EU kwa raha zao.

Bila shaka matokeo chanya ya matumizi ya chanjo.

Tunacho cha kujifunza hasa kutokea kwa huyu mwenzetu ndani ya EA.

"Ukitaka kwenda haraka nenda peke yako. Ukitaka kwenda mbali, nenda na wenzako." -- Samia Suluhu.

Penye nia pana njia.
 
EU wanataka watalii waingie na Covid-19 Passport lakini US kwa sasa inapinga hili hasa Republicans Governors katika States mbali mbali.
 
Habari njema...

Katika hiyo list idadi ya waliochanjwa kama % ya population ni kubwa zaidi.

Si Uganda wala Kenya wanaofika kwenye proportions hizo.

Kama kawa mburumundu wa kijani watatokea kudai ooh sijui Uganda, Kenya nk wamechanjwa lakini wapi!

Hadithi uchwara waendelee kudanganyana na kuwadanganya ma sungu sungu, wapiga debe, boda boda nk waliotanabaishwa kuwa eti ni wale wanyonge - ma think tank na engine wa awamu ile.
 
EU wanataka watalii waingie na Covid-19 Passport lakini US kwa sasa inapinga hili hasa Republicans Governors katika States mbali mbali.

Concern ya kirusi cha India (Delta) ni real.

Uganda, Kenya tayari wanakithibitisha kuwapo. Ni wazi kuwa anayekomaa kujilinda ana hoja zaidi.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom