Corona haina kinga kwa maana ya Chanjo - Jikinge kwa hali na mali chukua tahadhari

Corona haina kinga kwa maana ya Chanjo - Jikinge kwa hali na mali chukua tahadhari

Ndugu wananchi wenzangu napenda kuwaambia tu na huko mitandaoni kumejaa habari na jipya,jamaa amepata chanjo za dozi mbili kasafiri amerudi kupimwa ameoneka positive almanusura azimie....
Kuna jambo halitajwi kabisa, tabia ya watu kujichokonoachokonoa puani nayo si nzuri, mtu amepokea chenji dukani, kwenye daladala anaweka mfukoni anaanza kujichokonoa pua, tutasalimika kweli?
 
Ndugu wananchi wenzangu napenda kuwaambia tu na huko mitandaoni kumejaa habari na jipya,jamaa amepata chanjo za dozi mbili kasafiri amerudi kupimwa ameoneka positive almanusura azimie...
Kwa uelewa wangu mbovu nnavyojua chanjo yoyote ni virus hivyo hivyo unachomwa lakini hivi vinakuwa weak kidogo.
 
Ndugu wananchi wenzangu napenda kuwaambia tu na huko mitandaoni kumejaa habari na jipya,jamaa amepata chanjo za dozi mbili kasafiri amerudi kupimwa ameoneka positive almanusura azimie...
Mwambie Joni Chanjo haizuii kuambukizwa ila zinaufanya mwili kuwa uwezo wa kupambana na maambukizi. Kwa watakao nusurika awamu hii bila chanjo wajiandae kwa 3rd wave.
 
Ndugu wananchi wenzangu napenda kuwaambia tu na huko mitandaoni kumejaa habari na jipya,jamaa amepata chanjo za dozi mbili kasafiri amerudi kupimwa ameoneka positive almanusura azimie...
Hii ni vita dhidi ya yale ma bombardier, ma SGR na ma stiggler's gorge yetu tu.

Hata hakuna ugonjwa wowote.

Eti chanjo, chanjo chanjo gani?

Kwani hizi Pfizer, AstrsZeneca na hizi zingine kwani zinatibu hata Malaria tu?

Kwanza kwetu Corona hamna. Komaa nao mzee baba waonyeshe wewe ni jiwe kweri kweri.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Ndugu wananchi wenzangu napenda kuwaambia tu na huko mitandaoni kumejaa habari na jipya,jamaa amepata chanjo za dozi mbili kasafiri amerudi kupimwa ameoneka positive almanusura azimie...
Wewe na mzungu aliyegundua "ASTALEZIKA" nani zaidi? Yaani unataka kutuambia wazungu hawajafanyia huo utafiti? Inawezekana ukipata chanjo hata ukipata havina athari kwako ,ni sawa na kupata chanjo ya tetenus inamaanisha ukijichoma msumari wenye tetenus ndio haupati bacteria wa tetenus ingawa una chanjo? Think Big Mkuu.
 
Hatari sana.

Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana.
 
Back
Top Bottom