uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
acha kutuchuria! Hasidi mkubwa wewe unaona wivu kwamba Tanzania huoni vifo vya Corona Mlitamani sana Tanzania tupuputike Barabarani kwa Corona ila Mungu katustiri waja wake. Lolote Baya unaloomba juu ya TANZANIA likurudie wewe na FAMILY YAKO.
I am a Tanzania living in Tanzania, na sababu ta mjmi kuuliza ni kuwaza kwa njni inakuwa hivyo kenya, je ni maigizo?
Sasa maneno yote hayo uliyosema ni ya nini?