acha kutuchuria! Hasidi mkubwa wewe unaona wivu kwamba Tanzania huoni vifo vya Corona Mlitamani sana Tanzania tupuputike Barabarani kwa Corona ila Mungu katustiri waja wake. Lolote Baya unaloomba juu ya TANZANIA likurudie wewe na FAMILY YAKO.
Jaribu kufuatilia nchi ya Kenya, watu wake na mentality ya Wakenya kwa ujumla, ukiwajua vizuri, huwezi kushangaa kwanini wanashindwa kudhibiti Corona, ukilinganisha na mataifa yanayowazunguka. Jaribu kufuatilia miradi mingi ya Serikali ya Kenya, utagundua kwamba Mara kwa Mara huchukua maamuzi yasiyokua na tija yoyote, muhimu kwao ni kiki za kijinga.
[emoji3][emoji3][emoji3]kenya bhana kwa UJUAJI.
mlishaambiwa huu ugonjwa hauna Kinga wala tiba.
lakini mnakazana kupimana.
Huo ugonjwa utawatesa sanaa maana mmekataa KUISHI NAO.