Corona: Idadi ya wagonjwa wa Corona yaongezeka Zanzibar sasa yafikia Watatu

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Waziri wa afya Zanzibar mh Hamad Rashid amesema idadi ya wagonjwa wa Corona nchini Zanzibar imeongezeka na kufikia Watatu.

Mgonjwa mpya ni mzanzibari aliyetoka nchini Uingereza.

Source ITV habari
 
Kwan idadi ya zanzibar inaongezwa kwa hii ya bara na ndo tukapata 13??

Jaman mwenye ukaribu na hospitali ya mloganzila naomba aende akatafiti uwepo wa wagonhonjwa wa COVID 19 kisha aje aeleze kama ni uzushi au ni kweli kwan taharifa zaonyesha kuna wagonjwa kadhaa.

Please wadau walio na ukarib na uko waconfirm kama ni uzushi au??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mshkaji wangu anafanya kazi pale nilimdadisi juzi anasema ni uzushi tu na wala hakuna kitu kama hicho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waziri wa afya Zanzibar mh Hamad Rashid amesema idadi ya wagonjwa wa Corona nchini Zanzibar imeongezeka na kufikia Watatu.

Mgonjwa mpya ni mzanzibari aliyetoka nchini Uingereza.

Source ITV habari
"..Mgonjwa mpya aliyetoka uingereza..."

Alafu ukiambia zuia watu wasiingie unajidai mbishi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waziri wa afya Zanzibar mh Hamad Rashid amesema idadi ya wagonjwa wa Corona nchini Zanzibar imeongezeka na kufikia Watatu.

Mgonjwa mpya ni mzanzibari aliyetoka nchini Uingereza.

Source ITV habari

HAWA Vibaraka wa DODOMA hawaaminiki mara watageuka Jecha na kuzifuta hizo Taarifa
 
51821a78-a810-406d-8889-a5f413f17217.jpg
bc2749c5-efcf-4bfd-849c-100c16225576.jpg
6f28c502-997c-420e-8cfb-d13802083965.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwan idadi ya zanzibar inaongezwa kwa hii ya bara na ndo tukapata 13??

Jaman mwenye ukaribu na hospitali ya mloganzila naomba aende akatafiti uwepo wa wagonhonjwa wa COVID 19 kisha aje aeleze kama ni uzushi au ni kweli kwan taharifa zaonyesha kuna wagonjwa kadhaa.

Please wadau walio na ukarib na uko waconfirm kama ni uzushi au??

Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka uponze watu badala ya kuchunguza unaweza kuambukizwa maana huu ni mgonjwa ambao unaambukiza haraka
 
Ummy, Majaliwa na Mzee mwenyewe ndio wenye mamlaka ya kuongelea Corona pekee, sie wengine tuhamasishane kunawa maana ya kusalimiana kwa miguu imepotezewa

Back
Top Bottom